Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
- Thread starter
-
- #61
Mpira sio fani yako broo, umevamia! Mtu wa mpira hata ukikuta watoto wadogo mtaani wanacheza mpira waweza poteza dakika kuwaangia!
Nenda ukafume vitambaa huko, mpira uache kama ulivyo
Makosa kama haya ya kiuandishi yanatokana na ww kutokuwa makini wkt unaandika na hii ni kwasababu unapenda kuangalia mpira wenye makosa mengi uwanjanimkuu hata wao walianzia huku huku, badala ya kudharau mpira wetu ni bora ungepuuzia tu then uendelee na mpira wako wa ulaya na marekani mkuu
Yaani namaanisha, tuachie mpura wetu mkuu.
Mkuu unataka kuniambia ukizoea kufuatilia vibovu na ww unakuwa mbovu?Makosa kama haya ya kiuandishi yanatokana na ww kutokuwa makini wkt unaandika na hii ni kwasababu unapenda kuangalia mpira wenye makosa mengi uwanjani
Mpura=Mpira
Sasa chelsea si ni bora niangalie game za ndondo za Mabibo Market na Friends Rangers.....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu unataka kuniambia ukizoea kufuatilia vibovu na ww unakuwa mbovu?
Ukatizame tv yakoYan game ya Simba halafu unategemea upate burudani? Uchafu tu. Ndio kuna siku nipo kibanda umiza nachek game ya Chelsea na Liver na siku hiyohiyo kulikua na game ya CHAN Tz na Sudan ghafla naona mdau kabadilisha chanel akaweka game ya CHAN, nilishindwa nikaamua kusepa
Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba