Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Ni nafsi ya 4 ya mungu 😏 kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu na la pakaPaka ni mnyama wa kiroho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nafsi ya 4 ya mungu 😏 kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu na la pakaPaka ni mnyama wa kiroho
Bas sawaaaKwenye kibuyu chako
Bado ujasema 🤣🤣Nyie ndo mijanaume mlitakiwa mrudishwe jandoni mfyuuu..!!
🙏🏽🙏🏽Leo umeandika point
Dah mkuu nimecheka sana na sijui kwanini. Anyway nyau anajuaje kuwa umefulia?Mapaka huwa yanadeka sana, likiona tu umefulia linahama nyumba...
Mbwa je?,Paka ni mnyama wa kiroho
Uko vizuri kiroho.. Paka penye negative energy hakaiongezea nyama mkuu, maana hata hapa nilipo ninae kushoto kwangu hapa
Yuko kibinadamu zaidi lakini kiulinzi piaMbwa je?,
Hayo ma dude sio kabisa! Hayo yanafuata harufu ya kifo..Kama bundi, fisi, AMA.popo
Akiona hapati tena treatment nzuri kwenye msozi kama zamani. Nakumbuka home paka walikuwa wanakuja from nowhere, hata mkijaribu kumkataa haondoki kwa sababu anaona kuna umate umate, baadaye mnamzoea anakuwa paka wa nyumbani. Mkiyumba mkawa hamna uwezo wa kuprovide kwake kama zamani anapotea na hatakaa mumuone...Dah mkuu nimecheka sana na sijui kwanini. Anyway nyau anajuaje kuwa umefulia?