Mnaofuga paka

Mnaofuga paka

Dah mkuu nimecheka sana na sijui kwanini. Anyway nyau anajuaje kuwa umefulia?
Akiona hapati tena treatment nzuri kwenye msozi kama zamani. Nakumbuka home paka walikuwa wanakuja from nowhere, hata mkijaribu kumkataa haondoki kwa sababu anaona kuna umate umate, baadaye mnamzoea anakuwa paka wa nyumbani. Mkiyumba mkawa hamna uwezo wa kuprovide kwake kama zamani anapotea na hatakaa mumuone...
 
Back
Top Bottom