Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

fact only

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
196
Reaction score
288
Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana {Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa}.
MFANO (Kuna video Hapo chini). Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao makuu ya Club ya Simba/Sandaland the only one kariakoo.
Bei milioni ishirini na mbili tu(22M). Hapo haulipi KODI mpaka mwezi wa 4 Mwakani. {Narudi tena ukilipa hiyo pesa kulipa Kodi mpaka mwakani mwezi wa nne}. Karibuni wafanya biashara pia mnaotaka kuanza biashara hapa hakuna kilemba wala ujanja ujanja karibuni sana .
Fremu 👇👇👇.
 

Attachments

  • business kariakoo..mp4
    10.1 MB
  • business VID-20250206-WA0761.mp4
    1.5 MB
Niliona pale DDC wameweka flemu za kutosha na pale NMB, bila shaka ndo hizo mkuu.
 
Back
Top Bottom