Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

Bei mjomba
Zipo nyingi Uncle kuanzia laki 85,000 kigoli , laki 1, laki 2 kigoli, laki 5 , laki 8 mpaka milion 1 inategemea unahitaji mtaa gani pia wapi Yani ghorofani, chini au underground kabisa?
 
According to the law of Demand and supply, frame ya maana Kariakoo huwezi pata bure, labda kwenye law ya Musa! Mwizi
 
Kuna mpango serikali itaruhusu biashara zifanyike 24/7 ndani ya kariakoo, Kuna fursa zitaibuka hapa tukapange hata juu kule ghorofa ya mwisho ,
 
Kuna mpango serikali itaruhusu biashara zifanyike 24/7 ndani ya kariakoo, Kuna fursa zitaibuka hapa tukapange hata juu kule ghorofa ya mwisho ,
Hakika Uncle the time is now.
 
Zipo nyingi Uncle kuanzia laki 2 kigoli, laki 5 , laki 8 mpaka milion 1 inategemea unahitaji mtaa gani pia wapi Yani ghorofani, chini au underground?
Nikisikia kariakoo nasikia mawili unasisimika dar na ulisema underground
 
natafuta cha underground agrey/ndanda squre meter isipungue 144sm2
 
Back
Top Bottom