Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

Naomba uni PM Uncle unaweka namba mtu anapiga yupo ruvuma wana sumbua tu hawapo serious wanaleta utoto. Ambao wapo serious wanakuja PM tunamalizana.
Nipe namba yako PM kuna jamaa yangu anahitaji yupo hapa hapa Dar
 
natafuta cha underground agrey/ndanda squre meter isipungue 144sm2
Uncle Fanya kuja kariakoo Fremu zimepatikana ni wewe tu kuchagua zipo za laki 250,000 na laki 300,000 mtaa wa Aggrey barabarani kabisa .
 
Back
Top Bottom