Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 459
Usiseme kila mtu alijua ni offside sema we ulijua ni offsideYaani unaweza sema utazame mpira ukajikuta unakasirika kabisa
na ukajuta why umetazama
Mchezaji wa Yanga leo kachezewa faulo kainuka moja kwa moja kumpiga teke la kifua
mchezaji wa Coastal...halafu refa katoa kadi ya njano....yaani nimeshangaa sana
goli la kwanza kila mtu alijua ni offside ....
Mie niliona mchezaji wa coastal alisita kuufuata mpira akitegemea huruma ya refa
Yule mchezaji wa yanga alifanyiwa faulo kwanza ndo akarudishia muda huo huo so kadi ya njano ilitosha. Tatizo mnalinganisha na kadi alopewa mchezaji wa simba wakati matukio haya ni tofauti kabisa, yule hakuchezewa rafu