Mnaoibeba Yanga hamuisaidii, mnaiumiza...

Yaani unaweza sema utazame mpira ukajikuta unakasirika kabisa
na ukajuta why umetazama

Mchezaji wa Yanga leo kachezewa faulo kainuka moja kwa moja kumpiga teke la kifua
mchezaji wa Coastal...halafu refa katoa kadi ya njano....yaani nimeshangaa sana
goli la kwanza kila mtu alijua ni offside ....
Usiseme kila mtu alijua ni offside sema we ulijua ni offside

Mie niliona mchezaji wa coastal alisita kuufuata mpira akitegemea huruma ya refa

Yule mchezaji wa yanga alifanyiwa faulo kwanza ndo akarudishia muda huo huo so kadi ya njano ilitosha. Tatizo mnalinganisha na kadi alopewa mchezaji wa simba wakati matukio haya ni tofauti kabisa, yule hakuchezewa rafu
 
Ngoja waje waangola uone watakavyojitoa ufahamu. Yanga daima mbele nyuma mwiko! teh teh teh!
 
TFF & Malinzi wana makosa makubwa lakini hii mada imeandikwa kiushabiki haisaidii kitu
 
tatizo lako ni kwamba wewe ni wakitaifa tena wa mchangani. Tuache sie makombe yote ni yetu ila hamjachelewa enda kwa kombe la dr mwaka
Okay, basi jibu walau hoja moja
 
Ya Oscar ilikuwa ni straight red card for retaliation. Hakuna anayeweza kuwa certain 100 % kuwa Ngoma alikuwa offside. Sisi tunapata benefit ya kuona replays ambazo second official (Linesman) hana. Lazima afanye uamuzi in a split second. The same applies to goli la Tambwe.

Hata Yanga imekuwa mhanga wa maamuzi ya marefa lakini hakuna anayeona hilo. Time zote iwe kwenye EPL au VPL huwa victims au beneficiaries wa maamuzi yasiyo sahihi ya marefa.

Hizi kelele wala hazishangazi maana wakati ule Man U inatamba na Sir Alex, mambo yalikuwa hivyo hivyo kwamba Man U inapendelewa.

To add insult to injury, Azam Tv wana mtaalam anayefanya uchambuzi ya matukio kuhusu waamuzi. Ni huyu huyu Othman Kazi aliyefungiwa maisha kuhusiana na mechi moja kule Songea kwa kupokea hongo ya Shs laki mbili. Alikiri kupokea fedha hizo. Leo hii kapata wapi moral authority ya ku question maamuzi ya refa Kambuzi. What a shame!
 
View attachment 342162

ninachoona hapa hata Yondani alikua Offside na alimsukuma mchezaji wa Castal ili asiucheze mpira kilichomponza ASS REF ni kutaka kunyanyua kibendera na kuficha na baadaye kuyeyusha kuonesha anayaona matukio ambayo hata mengine hayakua offside alimradi tu alishatimiza azam yake
Mmmh!!! Ukisema unachoona hapa Yondani Alikuwa Offside, Je huyo Ngoma aliefunga goli nae alikuwa Offside!!!!!!!??? Hivi hiyo picha haikupi maana yoyote!! Duuuuuh huu ushabiki sasa umekuwa wa kujitoa Ufahamu.
 
Jambo la kuchekesha zaidi, ni kua Mhusika toka TFF nasema anasubiria ripoti ya kamisaa na refa wa mechi ya Coastal na Yanga ili afanye maamuzi yake, sasa TFF itatumiaje ripoti za watuhumiwa namba moja kufanya maamuzi yake, ina maana haiwezi kufanya uchunguzi wake binafsi nje ya ripoti za hawa watuhumiwa, ujinga ujinga ndio maana hata sikuhizi hatuendi uwanjani kutazama ujinga wenu.
 
Leo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi

Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi

halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya sana ya makusudi kabisa akapewa kadi ya njano
badala ya nyekundu moja kwa moja

halafu Yanga goli la pili mchezaji wake aliushika kwa mkono
kwanza mpira......

Imesemwa mara nyingi Yanga inabebwa
lakini wahusika hawataki kusikia..kukweli hamuisaidii
mnazidi kuturudisha nyuma.....na ndo maana timu zetu zikienda nje
matokeo yanajulikana kabla.....

Kuna mechi Ya Ligi ya Yanga na Coastal pia ambapo Yanga alifungwa bao 2 bila
cha kushangaza refa akaongeza dakika kumi nzima
huku hakukuwa na tukio lolote la kulipia muda....

Hizo ni mechi mbili tu nimezitaja lakini wote tunajua kinachotokea...

hamuisaidii Yanga...mnaiumiza tu kiukweli....
Nilikuwa sikufahamu afadhari leo umejitokeza kichwa kichwa
 
Usiseme kila mtu alijua ni offside sema we ulijua ni offside

Mie niliona mchezaji wa coastal alisita kuufuata mpira akitegemea huruma ya refa

Yule mchezaji wa yanga alifanyiwa faulo kwanza ndo akarudishia muda huo huo so kadi ya njano ilitosha. Tatizo mnalinganisha na kadi alopewa mchezaji wa simba wakati matukio haya ni tofauti kabisa, yule hakuchezewa rafu
Kwenye soka retaliation (kurudishia) hilo kosa la kadi nyekundu hakuna mjadala ktk hilo.
 
Hata ulaya waliwahi kusema man U inabebwa wakati wa Sir Alex F ,ila ukweli ni kuwa Man u Ilikuwa Klabu bora Uingereza the same applied to Baca wanasema ni timu ya FIfa ila sio ukweli
Unajua chanzo cha sadi kawemba kupewa kazi azam? kama hujui piga kimya
 
Jambo la kuchekesha zaidi, ni kua Mhusika toka TFF nasema anasubiria ripoti ya kamisaa na refa wa mechi ya Coastal na Yanga ili afanye maamuzi yake, sasa TFF itatumiaje ripoti za watuhumiwa namba moja kufanya maamuzi yake, ina maana haiwezi kufanya uchunguzi wake binafsi nje ya ripoti za hawa watuhumiwa, ujinga ujinga ndio maana hata sikuhizi hatuendi uwanjani kutazama ujinga wenu.

Huo ndiyo utaratibu wa FIFA ambao TFF wanaufuata. Hawawezi kufanya maamuzi ya aina yoyote bila ripoti ya Refa na kamiaa wa mchezo.
 
Under this circumstance, ambapo watuhumiwa ndio hao, report zao zitakua relevant? why shouldnt they conduct their own inquiry over the matter halafu wafanye maamuzi yao, lakini sio kutegemea kwa slimia zote ripoti za watuhumiwa, unategemea refa amnayetuhumiwa ataandika lolote ambalo litamtia hatiani, je haki y hao wengine nani ataitenda? sio sahihi kufanya maamuzi kwa kutegemea ripoti za watuhumiwa?
 
Leo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi

Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi

halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya sana ya makusudi kabisa akapewa kadi ya njano
badala ya nyekundu moja kwa moja

halafu Yanga goli la pili mchezaji wake aliushika kwa mkono
kwanza mpira......

Imesemwa mara nyingi Yanga inabebwa
lakini wahusika hawataki kusikia..kukweli hamuisaidii
mnazidi kuturudisha nyuma.....na ndo maana timu zetu zikienda nje
matokeo yanajulikana kabla.....

Kuna mechi Ya Ligi ya Yanga na Coastal pia ambapo Yanga alifungwa bao 2 bila
cha kushangaza refa akaongeza dakika kumi nzima
huku hakukuwa na tukio lolote la kulipia muda....

Hizo ni mechi mbili tu nimezitaja lakini wote tunajua kinachotokea...

hamuisaidii Yanga...mnaiumiza tu kiukweli....
Mimi napingana na wewe kuhusdu goli la Ngoma, kama umeangalia vizuri utaona kuwa mpira ulipopigwa kwenda goli la Coastal Union beki mmoja wa Coastal Union alihama ili amwingize Ngoma kwenye mtego wa kuotea. Hivyo, Ngoma akauwahi mpira na kufunga. Kwa maana hiyo hilo ni goli halali. Goli alilofunga Ngoma ni sawa na goli alilofunga mshambuliaji wa Al Ahly kwenye mechi iliyochezwa hapa Dar. Wachezaji (mabeki) wa Yanga walichelewa kuhama na hivyo goli likafungwa. Tatizo timu zetu dhana ya offside bado hazijaielwa sawa sawa.
 
Under this circumstance, ambapo watuhumiwa ndio hao, report zao zitakua relevant? why shouldnt they conduct their own inquiry over the matter halafu wafanye maamuzi yao, lakini sio kutegemea kwa slimia zote ripoti za watuhumiwa, unategemea refa amnayetuhumiwa ataandika lolote ambalo litamtia hatiani, je haki y hao wengine nani ataitenda? sio sahihi kufanya maamuzi kwa kutegemea ripoti za watuhumiwa?
Mkuu,kwenye soka huwezi kufanya uchunguzi wowote bila ya kupitia report ya mwamuzi na report ya kamisaa wa mchezo (kwa hapa Tanzania ) baada ya hapo timu zikileta malalamiko rasmi ndio kamati huru inaweza kuunda kuchunguza
 
Mkuu, bahati mbaya mfumo wa mpira upo hivyo. Lakini hilo haliwazuii TFF kufanya upekuzi wa ziada. Wanaweza kutumia video za Azam Tv kwa mfano. Lakini tukumbuke uonyeshaji mpira viwanja kama Mkwakwani na kile cha Mwadui hauwezi kuwa sawa na pale Taifa au Azam Complex. Viwanja tajwa wanapeleka camera chache ndiyo maana huwezi kuona ile kama ni offside au siyo. Yale marudio ya kuonyesha mstari kwenye offside yanahitaji full set ya camera.
 
Hata hivyo vile vile huwezi tumia ripoti hizo kama hitimisho pekee la maamuzi yako, lazima uangalie na vyanzo vingine ili uweze kufikia maamuzi ya haki
 
Mkuu, bahati mbaya mfumo wa mpira upo hivyo. Lakini hilo haliwazuii TFF kufanya upekuzi wa ziada. Wanaweza kutumia video za Azam Tv kwa mfano. Lakini tukumbuke uonyeshaji mpira viwanja kama Mkwakwani na kile cha Mwadui hauwezi kuwa sawa na pale Taifa au Azam Complex. Viwanja tajwa wanapeleka camera chache ndiyo maana huwezi kuona ile kama ni offside au siyo. Yale marudio ya kuonyesha mstari kwenye offside yanahitaji full set ya camera.
Hata kama taratibu zinasema hivyo, ila haiwanyimi kuangalia vyanzo vingine vya taarifa ili kufikia maamuzi ya haki, katika hali ya kawaida ili kufikia maamuzi sahihi sidhani kama ni sahihi kutegemea kwa asilimia kubwa ripoti za washtakiwa, hawa jamaa wanaweza kata rufaa CAS na wakashinda loopholes kama hizo zikiachwa.
 
Back
Top Bottom