Mnaoibeba Yanga hamuisaidii, mnaiumiza...

Nashindwa kuizungumzia hii unayoita Offside goli lililofungwa na Ngoma kwa sababu na Azam tv wameshindwa kutuonyesha Ngoma alikuwa wapi wakati mpira unapigwa!! Kwasababu isije tukalaumu bure kwakuwa mfungaji alikuwa pekeake bila kujua kuwa mpira ulipopigwa yeye alikuwa Angle ya Offsife Au Lah!!!!!! Uonyeshaji wa Azam tv nao unaleta mkanganyiko.
Lakini pia nashindwa kukubali kuwa goli alilofunga Tambwe amefunga kwa mkono kwa hakuna kitu ambacho kitanifanya nijiridhishe, azam tv wameshindwa kuonyesha vizur ulipogonga Post ulifikia sehemu ya mwili kwa Mfungaji wa goli Tambwe.

Mkuu usiumize kichwa, huyu anaesema kuwa goli la ngoma lilikuwa off side yeye kaonea wapi? Au anaesema Tambwe kafunga kwa mkono kaona wapi kuwa alishika? Hata Azam TV wameshindwa kuonyesha Haya matukio, yeye analalamika nn wakati hajaona kitu chochote na hana ushaidi, hata wachezaji wa costal hakuna aliyelalamika, sasa yeye wanalalamika kama nani?
 
Una uhakika mimi Simba?
unafikiri wote humu wanaotaka fair play ni Simba?
Sasa unalalamika nn? Kasomee urefa basi mkuu.

Juzi fcb walishinda, ikadaiwa wamebebwa, na humu ndani kuna uzi unaosema fcb wanabebwa huku ukitaja mechi walizoshinda.

Tunajua mna hasira na yanga lkn ndiyo itakayo wafungulia njia kucheza caf champion cup 2017. Tunachoenda kufanya Angola, kitawapa ticket ili mpande ndege[emoji574] [emoji574] [emoji574]
 
Kanuni kuu ya YANGA ni ushindi kila mechi haijalishi itashindaje

Tunachotaka sisi ni fililmbi ya muamuzi kila inapo pulizwa kuwa mpira umeisha
Bas yanga nayo imeshinda
Mwisho wa siku yanga kashinda bas
Hata kwa kununua game?
 
Sasa unalalamika nn? Kasomee urefa basi mkuu.

Juzi fcb walishinda, ikadaiwa wamebebwa, na humu ndani kuna uzi unaosema fcb wanabebwa huku ukitaja mechi walizoshinda.

Tunajua mna hasira na yanga lkn ndiyo itakayo wafungulia njia kucheza caf champion cup 2017. Tunachoenda kufanya Angola, kitawapa ticket ili mpande ndege[emoji574] [emoji574] [emoji574]

Kumbe upeo wako ndo huu?
kuwa mtu akitaka fair play basi lazima awe na upande?
aisee....
 
The boss, inafahamika nini mnalalamika. Kwa taarifa yako, simba wanalalamika zaidi kuliko hata coastal
 
Akili za vijiweni umeleta hapa
kwako wewe huwezi kuzungumza ya Yanga bila kuitaja Simba...
Hivi unajua kuna mashabiki wangapi wa Yanga na Simba wameacha kufuatilia mpira wa TZ?
wamehamia EPL na UEFA?

watu type yako ndo mnafilkiri mpira ni Simba na Yanga tu....
upeo finyu
hujui wachezaji wanaoachwa hata wakicheza faulo mbaya wataenda chezea Taifa Stars na kufanya madudu
hayo hayo?

Au wewe akili yako yoote inaishia Simba na Yanga?
 
Tatizo lako na wewe umekuwa mbishi kama wale Mashabiki aliowaita Hans Poppe Wapumbavu.
 
The boss always nimekuwa muumini sana wa thread zako na mawazo yako ili ningependa kukuambia kitu kwamba mpira wa tz ni yanga na simba na kama nchi hii I nataka maendeleo ya soka yatapatikana pale timu hizi mbili zitakapokuwa mauti
 
Waliofanya fujo Leo ni mashabiki wa Simba mchangani fc aka matopeni club
 
Akili za vijiweni umeleta hapa
kwako wewe huwezi kuzungumza ya Yanga bila kuitaja Simba...
Hivi unajua kuna mashabiki wangapi wa Yanga na Simba wameacha kufuatilia mpira wa TZ?
wamehamia EPL na UEFA?

watu type yako ndo mnafilkiri mpira ni Simba na Yanga tu....
upeo finyu
hujui wachezaji wanaoachwa hata wakicheza faulo mbaya wataenda chezea Taifa Stars na kufanya madudu
hayo hayo?

Au wewe akili yako yoote inaishia Simba na Yanga?
Kwenda huko wewe unaejitia unajua mpira mpyuuu
 
The boss always nimekuwa muumini sana wa thread zako na mawazo yako ili ningependa kukuambia kitu kwamba mpira wa tz ni yanga na simba na kama nchi hii I nataka maendeleo ya soka yatapatikana pale timu hizi mbili zitakapokuwa mauti

Kuibeba Simba au Yanga au Azam ni upumbavu kabisa
kama mtu unaujua mpira lazima upende 'fair play...'
 
Na yule aliepewa njano badala ya Nyekundu mbona huzungumzi?
Swala hapa lilikuwa goli la Ngoma ni offside na goli la Tambwe amefunga kwa mkono, na ndio maana nikasema kuwa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa Ngoma alikuwa offside mpira ulipopigwa na Juma Abduli, ila kwakua wewe umemuona Ngoma akifunga goli huku akiwa peke yake ndio maana unasema kuwa goli ni la Offside. Halafu hata goli la Tambwe nalo wala huna uhakika kuwa mpira ulipogonga Post ulipokuwa unashuka chini mfungaji ulimpiga sehemu gani huwezi kujua, labda ufuate maneno ya Douglas Muhani na James Range ambao walikuwa wanatangaza mechi kwa mapenz tu. Nashindwa tu kuweka video ya goli ya Ngoma hapa ili uone kama ni Offside.
Jf siku hizi imekuwa ya Kiboya sana, watu wanaleta stor za kwenye vijiwe vya kahawa bila kufanya uchunguzi!!?????? Yanga haibebwi kama watu mnavyosema tuache ushabiki wa kishamba,.
 
Leo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi

Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi

halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya sana ya makusudi kabisa akapewa kadi ya njano
badala ya nyekundu moja kwa moja

halafu Yanga goli la pili mchezaji wake aliushika kwa mkono
kwanza mpira......

Imesemwa mara nyingi Yanga inabebwa
lakini wahusika hawataki kusikia..kukweli hamuisaidii
mnazidi kuturudisha nyuma.....na ndo maana timu zetu zikienda nje
matokeo yanajulikana kabla.....

Kuna mechi Ya Ligi ya Yanga na Coastal pia ambapo Yanga alifungwa bao 2 bila
cha kushangaza refa akaongeza dakika kumi nzima
huku hakukuwa na tukio lolote la kulipia muda....

Hizo ni mechi mbili tu nimezitaja lakini wote tunajua kinachotokea...

hamuisaidii Yanga...mnaiumiza tu kiukweli....
Mbona usemi na TOTO AFRICAN alibebwa taifa
 
Swala hapa lilikuwa goli la Ngoma ni offside na goli la Tambwe amefunga kwa mkono, na ndio maana nikasema kuwa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa Ngoma alikuwa offside mpira ulipopigwa na Juma Abduli, ila kwakua wewe umemuona Ngoma akifunga goli huku akiwa peke yake ndio maana unasema kuwa goli ni la Offside. Halafu hata goli la Tambwe nalo wala huna uhakika kuwa mpira ulipogonga Post ulipokuwa unashuka chini mfungaji ulimpiga sehemu gani huwezi kujua, labda ufuate maneno ya Douglas Muhani na James Range ambao walikuwa wanatangaza mechi kwa mapenz tu. Nashindwa tu kuweka video ya goli ya Ngoma hapa ili uone kama ni Offside.
Jf siku hizi imekuwa ya Kiboya sana, watu wanaleta stor za kwenye vijiwe vya kahawa bila kufanya uchunguzi!!?????? Yanga haibebwi kama watu mnavyosema tuache ushabiki wa kishamba,.

Soma vizuri sikusema goli la mkono
nimesema kashika kabla ya kufunga

halafu nimeongelea mechi ingine ambayo baada ya Yanga kufungwa refa kaongeza dakika 10 za nyongeza
na kuna la mchezaji wa Yanga kumshambulia mtu na teke kwa kusudi na kupewa njano badala ya nyekundu
usijitoe ufahamu...kuipenda Yanga kusikufanye uwe kipofu

Hivi kuna faida gani Yanga ikishinda kwa kubebwa na ichukue ubingwa huku wewe unajua inabebwa?

Mimi timu ikibebwa iwe Yanga au Azam AU simba kwangu naona ni uoumbavu mtupu
 
The Boss hivi kweli wewe unaongea haya kutoka kichwani mwako!!!! Unakumbuka game ya Yanga na Simba ile round ya kwanza Israel Nkongo alimaliza mechi ikiwa inasoka dakika ngapi!!!!!
Haya niambie wewe game ambayo waliongezewa dakika kumi!!!! Hukumbuka kama Simba ndio waliongezewa dak 10 game na Stand United!!!!Acha kujitoa ufahamu kiongozi. Hebu jipange kwanza kabla hujaandika vitu vya kusadika humu jukwaani. Sisi hatuzungumzii stor za kwenye vijiwe vya kwenye kahawa hapa.
 
Back
Top Bottom