Mnaoibeba Yanga hamuisaidii, mnaiumiza...

Refa alistahili kupigwa risasi, roho inaniuma kwa upuuzi wa Jana, Yule match kamishna nahisi ndiye aliyepanga madudu yale,,
Kwanini roho ikuume..? Kwani wewe ni shabiki wa Coastal Union..? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kila anaeisema Yanga ni Simba, unakosea sana ndugu. Wengine ni wanazi wa mpira tu, hwako katika timu hizi mbili. Lakini ukweli lazima usemwe
Hakuna mnazi wa mpira Bongo... Majibizano mengi ni ya kishabiki.
 
Bado kuna safari ndefu kwenye soka maana viongozi wa mipira wako pale kwa kuangalia pesa za mechi za simba na yanga .
 
Malinzi anarudisha soka nyuma alitakiwa ajifunze kwa aliye muachia Madaraka ndugu Tenga Tanzania kwenye medani za soka ilipiga hatua kiasi hata wazamini walijitokeza.
 
Leo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi

Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi

halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya sana ya makusudi kabisa akapewa kadi ya njano
badala ya nyekundu moja kwa moja

halafu Yanga goli la pili mchezaji wake aliushika kwa mkono
kwanza mpira......

Imesemwa mara nyingi Yanga inabebwa
lakini wahusika hawataki kusikia..kukweli hamuisaidii
mnazidi kuturudisha nyuma.....na ndo maana timu zetu zikienda nje
matokeo yanajulikana kabla.....

Kuna mechi Ya Ligi ya Yanga na Coastal pia ambapo Yanga alifungwa bao 2 bila
cha kushangaza refa akaongeza dakika kumi nzima
huku hakukuwa na tukio lolote la kulipia muda....

Hizo ni mechi mbili tu nimezitaja lakini wote tunajua kinachotokea...

hamuisaidii Yanga...mnaiumiza tu kiukweli....

Kama 99% ya Viongozi wa TFF ni Yanga huku 90% ya Marefarii walioteuliwa na TFF kuchezesha VPL ni Yanga wa kufa au kindakindaki unategemea nini au jipya gani hapo? Kwa upuuzi wa aina hii natabiri ndani ya mwaka mmoja au mitatu ijayo kutakuja kutokea MAAFA makubwa sana kiwanjani na TUTAZIKA wengi huku tukijuta. Yangu macho na TFF msiache kuendelea kuipendelea Yanga kwa kushirikiana na hao Waamuzi wenu ila kilichotokea Tanga ni cheche tu katika Soka la Tanzania ila moto siku si nyingi mtauona na nchi itatikisika.
 
Huyu Jamaa sometime Zero brain, Nyange Kaburu ni Yanga!!!!! Wambura nae ni Yanga!!!!!!???
Unaandika vitu viiiingi kama point kumbe uharo tu! Halafu huyu nae atajiita Great Thinker!!!!!!!!!!!!!

Hii jf siku hizi Majanga aiiiiseeeee, Msimu uliopita wakati Simba wanamtumia mchezaji ambae alikuwa na kadi 3 za njano mechi dhidi ya Prisons mbona hukutokwa na povu hivi!!!!!
 
Niliamua kuacha kuwa shabiki wa timu zetu sio siri, kuna vitu vinatia hasira sana, hv timu ni hzo tu???Kuna cku "Julio alisema ifikie hatua basi TFF wabaki na timu tatu tu",haina maana ya kuweka timu nyingine,kma hawakutaka timu zingine zifike fainali kulikuwa na haja gani ya kuanzisha haya mashindano???Namchukia sana Malinzi uongozi wake mbovu cjawah kuona
Na kwa mtindo huu tutaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu miaka nenda rudi
Kwani Julio nani!!!! Mpaka uone kila anachokisema ni sahihi na kila mtu akubali!!! Alipigwa 8-0 akiwa Coast na bado hakukiri kuwa Amezidiwa kimchezo aliendelea kuchonga na kuropoka kama mwimba Taarabu. Sasa nani aliekuambia uanze kufuatilia mpira wa bongo wakati uliamua kuacha kuushabikia??????? Unaongea pumba ili uuze sura hapa Jukwaani kama wale waliopo Kule Dodoma
 
Yanga na TFF ni kat ya majanga makuu ya taifa yakitanguliwa na ufisadi, ujinga na naradhi
 
Huyu Jamaa sometime Zero brain, Nyange Kaburu ni Yanga!!!!! Wambura nae ni Yanga!!!!!!???
Unaandika vitu viiiingi kama point kumbe uharo tu! Halafu huyu nae atajiita Great Thinker!!!!!!!!!!!!!

Hii jf siku hizi Majanga aiiiiseeeee, Msimu uliopita wakati Simba wanamtumia mchezaji ambae alikuwa na kadi 3 za njano mechi dhidi ya Prisons mbona hukutokwa na povu hivi!!!!!

Sidhani kama kiwango changu kikubwa cha uelewa na maarifa ya kutukuka niliyonayo kinaniruhusu / yananiruhusu Mimi kubishana na " kapuku " wa aina yako. Jifunze kwanza kulijua soka la bongo kisha uzijue siasa za soka la bongo ukimaliza rudi humu tena nikufundishe mengine swine.
 
Sidhani kama kiwango changu kikubwa cha uelewa na maarifa ya kutukuka kinaniruhusu Mimi kubishana na " kapuku " wa aina yako. Jifunze kwanza kulijua soka la bongo kisha uzijue siasa za soka la bongo ukimaliza rudi humu tena nikufundishe mengine swine.
Mtu mwenye uelewa kama mwenyewe unavyojisifu hawezi kuandika Ujinga kama uliouandika wewe, Kwa uelewa upi hasa unaojisifia!!!!!!!???? Mtu mwelewa hawezi kuwa limbukeni kama wewe, Siku zote umekuwa mtu wa kujisifu sifu tu kama mwanamke malaya!!!!! Tutapima uelewa wako kwa kutoa hoja za msingi, Umeelewa wewe Bwanga!!!!!!!???
 
Huo umalaya aliuanza kwanza aliyekuzaa ndipo nikaurithi Mimi kutoka kwake.
 
Kwani Julio nani!!!! Mpaka uone kila anachokisema ni sahihi na kila mtu akubali!!! Alipigwa 8-0 akiwa Coast na bado hakukiri kuwa Amezidiwa kimchezo aliendelea kuchonga na kuropoka kama mwimba Taarabu. Sasa nani aliekuambia uanze kufuatilia mpira wa bongo wakati uliamua kuacha kuushabikia??????? Unaongea pumba ili uuze sura hapa Jukwaani kama wale waliopo Kule Dodoma
Siwezi jibishana na ww kwa sababu nami nitakuwa mjinga kama ww,hyo sura unayoisema umeiona wapi ama ww basi ndo uliona hapa pa kuuzia sura, na usitake kunilazimisha kuandika maoni ya kukupendeza ww sawa eheeee,umeona umeanndika la maaana sanaaaaaa mfhuuuuuuuu mapovu yanakutoka kama nn, kwa hyo kila mtu aandike kukupendeza ww ama unalojisikia ww
 
Eti huyu nae anajiita mwelewa!!!!! Shukuru tu kuna Ban humu, ila nitarudi kwa style nyingine.

Unamaanisha kuja kwa ID zako zingine? Inabidi tu nicheke kwani nakuona bonge la hopeless kwani wenzako tuna ID's humu za kutosha tu hadi zingine tumeshazisahau na tunakusanifu tu. Sasa kama unajivunia kuwa na ID's nyingi kwanini unaogopa KUNITUKANA kisha ukishapigwa BAN uje na hizo zingine? Naona dozi yangu imeshakuingia kama ambavyo huwa inawaingia wenzako wenye kujipendekeza kwangu au kushoboka na Mimi ambao nimeshawanyoosha! Siku nyingine uwe na adabu na ID hii.
 
Mtu mwenye uelewa kama mwenyewe unavyojisifu hawezi kuandika Ujinga kama uliouandika wewe, Kwa uelewa upi hasa unaojisifia!!!!!!!???? Mtu mwelewa hawezi kuwa limbukeni kama wewe, Siku zote umekuwa mtu wa kujisifu sifu tu kama mwanamke malaya!!!!! Tutapima uelewa wako kwa kutoa hoja za msingi, Umeelewa wewe Bwanga!!!!!!!???
Kumbe na ww umeona watu wengine taabu kweli
 
Back
Top Bottom