Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

[emoji2][emoji2][emoji2] hii ni hatari sana aisee
 

Story za Shigongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ubaya ni kwamba, mtoto wa miaka kuanzia mitatu huwa hapotezi kumbukumbu za matukio ya utotoni mpaka anakuwa mtu mzima.

Madhara yake sio mazuri kwa afya ya akili ya mtoto anapoona mama ameinamishwa na baba huku anamwaga vilio vya "uchungu".
Kumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka mitatu huwa ni short memory na zinapotea kirahisi kichwani kadri anavyokua (growth) na kadri jinsi brain inavyozidi ku-develop.

Kumbukumbu za mtoto kuanzia miaka 5 nyingi ndiyo zinakaa vizuri kichwani hasa kumbukumbu za matukio makubwa makubwa.

94% ya watu humu JF nina uhakika hatukumbuki matukio yetu wakati tulipokuwa na umri wa miaka 3.
Zaidi zaidi huwa tunapata historia ya matukio yetu kupitia picha za utotoni, au kusimuliwa na wazazi au kupitia kusimuliwa na watu waliotuona kipindi bado tungali watoto wa umri chini ya miaka 5.
 
Hiyo PSTD anaipata akiwa na umri gani, kwa maana naye akikua kiasi cha kutafsiri picha hiyo... atakuwa tayari ashaanza kufaidi uumbaji.
PTSD inakuja hatua kwa hatua.

Zile picha za "ukatili" wa baba dhidi ya mama zitakapoanza kujipiga kichwani na kujirudia rudia, ndipo hapo na yeye atakapoanza kukengeuka (after adolescence most likely).

Anaweza hata kuwachukia wanaume. Na chuki yake inaweza kuwa kali sana tena sana!

Beware with what you are doing around kids. Ni hatari na haifai.
 
Kuna familia zinalala na watoto mpaka wa form two. Mitoto imeshabalehe kabisa.
 
Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
 
mkuu, hizi ndiyo mbinu zako nini? eti eeh? 😀😀😀😀
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Nunua godoro la watoto, tenganisha chumba kwa pazia, kila inapofika usiku.

Watoto watalala upande wa pili na wazazi upande mwingine.

Karipia watoto wasije upande wa pili bila kusema hodiiiiiiiii.
 
Duh sijui huwa wanafanyaje ila ni kuharibu watoto maana wanaelewa kabisaaaaaaaaa.
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Siku hizi hakuna kuandaana kama zamani, mtoto anatumwa dukani fasta unamaliza au unasubiri asubuhi waende shule wote na nyie mnaingia twition sasa
 

Hapa tunaongelea namna ya kupigana miti sio mitama, nikadhani hii pia husababisha trauma!
 
Nunua godoro dogo kwaajili ya huo mchezo wakat wa usiku mnamuacha kitandani nyie mwaendelea na mechi chini uzur hatosikia kwichi kwichi😁
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Njia sahihi.
Kama una mtoto mmoja na Mnalala kitanda kimoja wote watatu. Tumia style ya SITAKI KUONA SURA YAKO yaani baba analala upande wa ukutani mama anamgeuzia matako akiwa kakumbatia mwanae au akimshika shika mwanae yaani kufanya alale ili asijue kinachoendelea huku jamaa akiendeleza kuzungusha kiuona kistarabu.

Note. Hii style ni tamu asikwambie mtu pia haichoshi kabisa. Nenda jaribu leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…