valent
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 664
- 876
[emoji2][emoji2][emoji2] hii ni hatari sana aisee
Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuawanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.
Sasa bwana sikuhiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi. Jamaa kavuta muda akajua saivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji. Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."