Hapana, sikubaliani na wewe, niliwahi kugombana na mama mtoto wangu, kipindi mtoto Ana miaka mitatu, kwa kuwa alikua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana, kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu na mtoto alikuwepo, mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike, likizo ya Disemba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae, alinikumbusha, baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?
Sikumjibu, nilimpotezea, Ila alikumbuka tukio la miaka minane iliyopita.