Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.

Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.

Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.

Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.

Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
Hapa nimecheka sana
 
Hapana, sikubaliani na wewe, niliwahi kugombana na mama mtoto wangu, kipindi mtoto Ana miaka mitatu, kwa kuwa alikua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana, kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu na mtoto alikuwepo, mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike, likizo ya Disemba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae, alinikumbusha, baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?

Sikumjibu, nilimpotezea, Ila alikumbuka tukio la miaka minane iliyopita.
ndio sababu akasema 95% ya watu humu hatukumbuki akimaanisha 5% wanaweza kumbuka, mwanao yupo hilo kundi la 5%.
 
Utapangaje chumba kimoja kisha unazaa ovyo? Huo ni ujuha ama kweli Africans are irresponsible, badala ya kuwaza kukuza kipato upange vyumba 3 na kuendelea au hata kujenga kwako ww unawaza vp utatiana na watoto wapo ndani ya single room.
 
Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.

Sasa bwana siku hiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi.

Jamaa kavuta muda akajua sahivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji.

Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.

Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.

Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.

Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.

Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
😂😂
 
Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Hyo mbinu ndo waliifanya juzi watu wangu fulani. Siku hyo watt wao walikuja kwangu ila walipofika kwa msisitizo walisema mama amesema tusirudi mpka aje kutuchukua amesema atukute hapa hapa. Sasa nikawauliza baba yupo?.wakasema leo amewahi yupo nyumbani mama anaosha vyombo basi nikaconclude mambo yetu yaleee yanalika.
 
Kumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka mitatu huwa ni short memory na zinapotea kirahisi kichwani kadri anavyokua (growth) na kadri jinsi brain inavyozidi ku-develop.

Kumbukumbu za mtoto kuanzia miaka 5 nyingi ndiyo zinakaa vizuri kichwani hasa kumbukumbu za matukio makubwa makubwa.

94% ya watu humu JF nina uhakika hatukumbuki matukio yetu wakati tulipokuwa na umri wa miaka 3.
Zaidi zaidi huwa tunapata historia ya matukio yetu kupitia picha za utotoni, au kusimuliwa na wazazi au kupitia kusimuliwa na watu waliotuona kipindi bado tungali watoto wa umri chini ya miaka 5.
Me mbona nakumbuka vizuri ingawa si yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom