Dah nimeona hilo tanda, nimekumbuka nilivyokua nangonoka na binti mmoja pale hall3 udsm huku wenzie wamelala deka ya juu. Dah..tumetoka mbali sanaView attachment 1687373
Solution ya kuishi chumba kimoja na watoto. Lakini mengine yafanyike wakiwa shuleni.
Hapana, sikubaliani na wewe, niliwahi kugombana na mama mtoto wangu, kipindi mtoto Ana miaka mitatu, kwa kuwa alikua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana, kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu na mtoto alikuwepo, mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike, likizo ya Disemba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae, alinikumbusha, baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?Kumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka mitatu huwa ni short memory na zinapotea kirahisi kichwani kadri anavyokuwa (growth) na kadri jinsi brain inavyozidi ku-develop.
Kumbukumbu za mtoto kuanzia miaka 6 nyingi ndiyo zinakaa vizuri kichwani hasa kumbukumbu za matukio makubwa makubwa.
95% ya watu humu nina uhakika hatukumbuki matukio yetu wakati tulipokuwa na umri wa miaka 3.
Zaidi zaidi huwa tunapata historia ya matukio yetu kupitia picha za utotoni, au kusimuliwa na wazazi au kupitia kusimuliwa na watu waliotuona kipindi bado tungali watoto wa umri chini ya miaka 5.
Kwa mwanamke ambaye anataka kila baada ya siku mbili unadhani mbinu hii itawezekana?Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Labda utakuwa na mwanamke ambaye hana miguno,Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Miguno na kelele za kitanda zile chaga vipi,Nunua godoro la watoto, tenganisha chumba kwa pazia, kila inapofika usiku.
Watoto watalala upande wa pili na wazazi upande mwingine.
Karipia watoto wasije upande wa pili bila kusema hodiiiiiiiii.
Mnaenda kulala gest, case closed.Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Mnaenda kulala gest case cloased
Hiyo hela ya guest ni hela ya matumiziMnaenda kulala gest case cloased
Starehe gharama!! Zipo gest hadi za 3000 mpaka 50000 na laki chaguo lako uende 3000 ukapigwe chabo au laki ukapige mashine kwenye kipukwe.Iyo hela ya guest ni hela y amatumizi
Kama kaanza bby class natumai asubuhi anakua yuko shule hadi saa 9 au 10...so muda huo mnaweza tumia kufanya yenu.Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Watu wanaenda kazini saa 12 alfajiri kurudi saa 11 jioni au 12. Hilo kochi lipo chumbani humo humo na je miguno ya mama hata hisi anaitwa na akaamka, watoto wengine usifikiri wamelala fofofo jaribu.Kama kaanza bby class natumai asubuhi anakua yuko shule hadi saa 9 au 10...so muda huo mnaweza tumia kufanya yenu.
Usiku pia kakilala mnakaacha kitandani nyie mnafanyia kwenye kochi.
Kamwe usimuamini mtoto kalala fofofo, siku usiyoijua ndio utamuona, kinacho muamsha mtoto ghafla ni kujisaidia sasa hujui hapoKama kaanza bby class natumai asubuhi anakua yuko shule hadi saa 9 au 10...so muda huo mnaweza tumia kufanya yenu.
Usiku pia kakilala mnakaacha kitandani nyie mnafanyia kwenye kochi.
Watu wanaenda kazini saa 12 alfajiri kurudi saa 11 jioni au 12. hilo kochi lipo chumbani humo humo na je miguno ya mama hata hisi anaitwa na akaamka, watoto wengine usifikiri wamelala fofofo jaribu
Kwa mantiki hiyo hapo muda ni usiku....kama unamjua mtoto wako utajua hapa kalala fofofo au bado....miguno hata atoe vipi haiwezi muamsha mtoto.Watu wanaenda kazini saa 12 alfajiri kurudi saa 11 jioni au 12. hilo kochi lipo chumbani humo humo na je miguno ya mama hata hisi anaitwa na akaamka, watoto wengine usifikiri wamelala fofofo jaribu
Kwa mantiki hiyo hapo muda ni usiku....kama unamjua mtoto ako utajua hapa kalala fofofo au bado....miguno hata atoe vipi haiwezi muamsha mtoto.
Soma vizuri tena nilichoandika... Kuna tofauti kubwa sana kati ya maneno haya "mara nyingi" na "mara zote".....Hapana,sikubaliani na wewe,niliwahi kugombana na mama mtoto wangu,kipindi mtoto Ana miaka mitatu,kwa kuwa alikkua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana,kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu,na mtoto alikuepo,mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike,likizo ya de emba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae,alinikumbusha,baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?
Sikumjibu,nilimpotezea,Ila alikumbuka,tukio la miaka minane iliyopita.