Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

Kumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka mitatu huwa ni short memory na zinapotea kirahisi kichwani kadri anavyokuwa (growth) na kadri jinsi brain inavyozidi ku-develop.

Kumbukumbu za mtoto kuanzia miaka 6 nyingi ndiyo zinakaa vizuri kichwani hasa kumbukumbu za matukio makubwa makubwa.

95% ya watu humu nina uhakika hatukumbuki matukio yetu wakati tulipokuwa na umri wa miaka 3.
Zaidi zaidi huwa tunapata historia ya matukio yetu kupitia picha za utotoni, au kusimuliwa na wazazi au kupitia kusimuliwa na watu waliotuona kipindi bado tungali watoto wa umri chini ya miaka 5.
Hapana, sikubaliani na wewe, niliwahi kugombana na mama mtoto wangu, kipindi mtoto Ana miaka mitatu, kwa kuwa alikua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana, kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu na mtoto alikuwepo, mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike, likizo ya Disemba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae, alinikumbusha, baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?

Sikumjibu, nilimpotezea, Ila alikumbuka tukio la miaka minane iliyopita.
 
Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Kwa mwanamke ambaye anataka kila baada ya siku mbili unadhani mbinu hii itawezekana?
 
Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Labda utakuwa na mwanamke ambaye hana miguno,
 
Mwanamke mzoefu wa miguno na uwezi mzimikia hajaanza miguno sijui hapo inakuwaje bado ni changamoto halafu ukute kitanda chenyewe chaga ndo zile zenye kelele dah
 
Nunua godoro la watoto, tenganisha chumba kwa pazia, kila inapofika usiku.

Watoto watalala upande wa pili na wazazi upande mwingine.

Karipia watoto wasije upande wa pili bila kusema hodiiiiiiiii.
Miguno na kelele za kitanda zile chaga vipi,
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Mnaenda kulala gest, case closed.
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Kama kaanza bby class natumai asubuhi anakua yuko shule hadi saa 9 au 10...so muda huo mnaweza tumia kufanya yenu.
Usiku pia kakilala mnakaacha kitandani nyie mnafanyia kwenye kochi.
 
Kama kaanza bby class natumai asubuhi anakua yuko shule hadi saa 9 au 10...so muda huo mnaweza tumia kufanya yenu.
Usiku pia kakilala mnakaacha kitandani nyie mnafanyia kwenye kochi.
Watu wanaenda kazini saa 12 alfajiri kurudi saa 11 jioni au 12. Hilo kochi lipo chumbani humo humo na je miguno ya mama hata hisi anaitwa na akaamka, watoto wengine usifikiri wamelala fofofo jaribu.
 
Kama kaanza bby class natumai asubuhi anakua yuko shule hadi saa 9 au 10...so muda huo mnaweza tumia kufanya yenu.
Usiku pia kakilala mnakaacha kitandani nyie mnafanyia kwenye kochi.
Kamwe usimuamini mtoto kalala fofofo, siku usiyoijua ndio utamuona, kinacho muamsha mtoto ghafla ni kujisaidia sasa hujui hapo
 
Watu wanaenda kazini saa 12 alfajiri kurudi saa 11 jioni au 12. hilo kochi lipo chumbani humo humo na je miguno ya mama hata hisi anaitwa na akaamka, watoto wengine usifikiri wamelala fofofo jaribu
Watu wanaenda kazini saa 12 alfajiri kurudi saa 11 jioni au 12. hilo kochi lipo chumbani humo humo na je miguno ya mama hata hisi anaitwa na akaamka, watoto wengine usifikiri wamelala fofofo jaribu
Kwa mantiki hiyo hapo muda ni usiku....kama unamjua mtoto wako utajua hapa kalala fofofo au bado....miguno hata atoe vipi haiwezi muamsha mtoto.
 
Hapana,sikubaliani na wewe,niliwahi kugombana na mama mtoto wangu,kipindi mtoto Ana miaka mitatu,kwa kuwa alikkua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana,kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu,na mtoto alikuepo,mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike,likizo ya de emba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae,alinikumbusha,baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?
Sikumjibu,nilimpotezea,Ila alikumbuka,tukio la miaka minane iliyopita.
Soma vizuri tena nilichoandika... Kuna tofauti kubwa sana kati ya maneno haya "mara nyingi" na "mara zote".....
Yote kwa yote haiondoi ukweli kwamba kumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka 3 zitafutika kadri anavyozidi kukua (growth).

Kama mwanao anakumbuka matukio yake mengi ya wakati akiwa na miaka 3. Basi itakuwa mwanao kapitia matukio makubwa sana ambayo ni negative, yalioacha alama akilini mwake.

Au kama siyo hivyo, basi itakuwa mwanao ni gifted/genius. Ni vyema umpeleke special schools za kuendeleza hiyo gift yake.
 
Daah ni kulala na watoto chumba kimoja ni hatari sana, maana wanaweza kujaribu vile wanaviona wakiwa wadogo sana.

Wanajifanga wamelala wakati mwingine kumbe wanapiga chabo Ama kusikiliza, kibaya ni atakapokuuliza ama kuhadithia kwa mtu yale yanayojiri usiku

Ikiwezekana ni bora kuamka usiku sana mkanyanduane ata toilet aisee akihoji unaweza kuzuga Kua unamsindikiza mama anaogopa ila sio akihoji mbona mama analiaga usiku
 
Jambo la msingi ni kujitahidi kuongeza chumba kingine. Ukishakuwa na mtoto panga angalau chumba na sebule ili upate sehemu ya kukapiga exile mkiwa na yenu. Mkimaliza mnakakaribisha kulala
 
Back
Top Bottom