sibbonnobo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 722
- 885
Hapa nimecheka sanaKuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.
Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
We m kuna kumbukumbu nnazo nadhani hata za miaka miwili na nusuHuu ni uongo..
Kumbukumbu inaanza kujijenga kwa mtoto akiwa na miaka 5.
ndio sababu akasema 95% ya watu humu hatukumbuki akimaanisha 5% wanaweza kumbuka, mwanao yupo hilo kundi la 5%.Hapana, sikubaliani na wewe, niliwahi kugombana na mama mtoto wangu, kipindi mtoto Ana miaka mitatu, kwa kuwa alikua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana, kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu na mtoto alikuwepo, mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike, likizo ya Disemba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae, alinikumbusha, baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?
Sikumjibu, nilimpotezea, Ila alikumbuka tukio la miaka minane iliyopita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.
Sasa bwana siku hiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi.
Jamaa kavuta muda akajua sahivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji.
Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
😂😂Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.
Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
Hyo mbinu ndo waliifanya juzi watu wangu fulani. Siku hyo watt wao walikuja kwangu ila walipofika kwa msisitizo walisema mama amesema tusirudi mpka aje kutuchukua amesema atukute hapa hapa. Sasa nikawauliza baba yupo?.wakasema leo amewahi yupo nyumbani mama anaosha vyombo basi nikaconclude mambo yetu yaleee yanalika.Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Me mbona nakumbuka vizuri ingawa si yoteKumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka mitatu huwa ni short memory na zinapotea kirahisi kichwani kadri anavyokua (growth) na kadri jinsi brain inavyozidi ku-develop.
Kumbukumbu za mtoto kuanzia miaka 5 nyingi ndiyo zinakaa vizuri kichwani hasa kumbukumbu za matukio makubwa makubwa.
94% ya watu humu JF nina uhakika hatukumbuki matukio yetu wakati tulipokuwa na umri wa miaka 3.
Zaidi zaidi huwa tunapata historia ya matukio yetu kupitia picha za utotoni, au kusimuliwa na wazazi au kupitia kusimuliwa na watu waliotuona kipindi bado tungali watoto wa umri chini ya miaka 5.