Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ndiyo wapi huko?PAPUCHI TOWN
Kila sehemu za jiji umefika kwa shughuli za kikazi au matembezi binafsi?Hakuna sehemu sijafika Dar, ilivyo ndogo hivi unakosaje kuitembea
Papo karibu na wapi, mbona sipajui 🤣🤣🤣Kwa mparange, nasikia kuna tope balaa, hakuendeki.
Kuna vibaka hatari huko..Mburahati
Kwa mparange
Weee usinambieeKuna vibaka hatari huko..
Shouga kwa mparange ndiyo wapi, mbona sijawahi kupasikia!Mburahati
Kwa mparange
Ni buza dyadyaShouga kwa mparange ndiyo wapi, mbona sijawahi kupasikia!
Homboza sio darHomboza, kwa mama kibonge, kwa bibi nyau, zingazinga
Kwa list hii, bila shaka wewe unaishi either Kimara au KigamboniNaanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
]
- Chanika
- Chamazi
- Makongo juu
- Kivule
- Kiwalani
- Yombo vituka
- Mabwepande
- Mburahati