Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Duuuh
giphy.gif
 
Maeneo gani hamjaopoa wabebez
Km hujawahi kufika hayo maeneo hata Ubungo Kibangu hupajui Mabibo Jeshini na hujawahi kufika Tabata Kisukuru wala kukanyaga Majichumvi hupajui Goba njia 4 unapasikia tu hama Dar Mbweni Madale hupajui na unaishi Dar mwingine hata Mbezi Beach tu anapasikia kwenye bomba na anaishi Dar hama Dar
 
Km hujawahi kufika hayo maeneo hata Ubungo Kibangu hupajui Mabibo Jeshini na hujawahi kufika Tabata Kisukuru wala kukanyaga Majichumvi hupajui Goba njia 4 unapasikia tu hama Dar Mbweni Madale hupajui na unaishi Dar mwingine hata Mbezi Beach tu anapasikia kwenye bomba na anaishi Dar
Huko kote napajua kasoro Tabata Kisukuru na Majichumvi!
 
Back
Top Bottom