Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,966
- 8,977
miaka 90 mbali sanaKule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.
Siku hizi nasikia kumejengeka sana.
miaka 2000 mwanzoni vijumba vya udongo vilikuwa vingi sana nakumbuka nakuja kwa bibi yangu pale walikuwa wanaita kituo JUMBA JEUPE
kule kinyerezi mwisho ndo kulikuwa kma umeingia kijijini zilipokuwa zinageuzia zile vipanya tulikuwa tunapandia pale majumba sita
kumeanza kuchanganka kuanzia miaka ya 2005 awamu ya kikwete ndio kukaanza kuwana majumba mpk IGP mwema akashushaga jumba huko miaka hiyo