Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #441
Mi naijua ya Kimara tu, kumbe Ilala pia kuna Bonyokwa 😳?Halafu Bonyokwa inatatiza sana. Maana ipo Wilaya ya Ilala, ila Kimara Bonyokwa ipo Wilaya ya Ubungo, sijui nani aliyeipa jina kuitwa KIMARA BONYOKWA.