Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Kwahy humu wote mmefika Mlimani City wore mambo safi šŸ˜…šŸ˜…
 
Wakuu, ngojeni kwanza.
Tarehe 16 nqtarajia kwenda Dar nikitokea Dodoma kwa Treni ya SGR.

Sasa naombeni muongozo wa usafiri, yaani njia ya rahisi kutoka hapo station hadi Ubungo Riverside.

Nikishuka niende na usafiri gani? Daladala kituo kipo wapi? Kuna vituo vingapi hadi Riverside? Majina ya hivyo vituo?
 
Back
Top Bottom