Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Yeeep, ni vitongoji maeneo vilivyopo ndani ya halmashauri zilizo ndani ya mkoa wa DSM .. mbopo ni manispaa ya kinondoni , zingiziwa nadhani ni Temeke, Kifuru ni ilala kama sio ubungo halmashauri,
Daah basi inabidi nitembee tembee maana kuna sehemu nyingine nazisikia tu.
 
Kote huko hata mimi sipajui
Tandika kaburi moja ni mtaa, ndani ya Tandika hivyo unaweza kufika tandika, hata huo mtaa ukapita usijue ukajua umepita Tandika.
Mfano Mbezi Mwisho, kuna mitaa unaitwa O.G. mwingine Kitopeni iko jirani stand kuu ya Mabasi Wasiyo wenyeji hawajui majina ya mitaa.
 
Km hujawahi kufika hayo maeneo hata Ubungo Kibangu hupajui Mabibo Jeshini na hujawahi kufika Tabata Kisukuru wala kukanyaga Majichumvi hupajui Goba njia 4 unapasikia tu hama Dar Mbweni Madale hupajui na unaishi Dar mwingine hata Mbezi Beach tu anapasikia kwenye bomba na anaishi Dar hama Dar
Kwangu mimi sehemu nyingi za nje ya mji sijawahi kufuka ila katika ya Dar ndiyo mweneyeji, Kuanzia Sinza, Kijitonyama, Manzese, Magomeni, Chuo kikuu na Aridhi, Makongo juu, Kawe, Mikocheni, Msasani, Masaki, Osterbay, Kinondoni, Upanga, Post, Keko, Tandika, Ubungo, Kitunda.Mwanayamala, Bunguruni, Kariakoo.Tazara. Ocean Road.
 
Nakusoma sana, mimi pia ni kama wewe. Nimejifunza sehemu nyingi mpya kupitia huu uzi!
 
Nita sema mimi
Sema tu 😅
giphy.gif
 
Tandika kaburi moja ni mtaa, ndani ya Tandika hivyo unaweza kufika tandika, hata huo mtaa ukapita usijue ukajua umepita Tandika.
Mfano Mbezi Mwisho, kuna mitaa unaitwa O.G. mwingine Kitopeni iko jirani stand kuu ya Mabasi Wasiyo wenyeji hawajui majina ya mitaa.
Kweli kabisa, si rahisi kujua majina ya mitaa kama si mwenyeji wa eneo husika.
 
Mkuu sasa mtu kazaliwa Dar na sehemu zongine kuzijua ni ngumu ukute hana ndugu na jamaa na marafiki na utakuta kazaliwa Dar kapata kazi kapangiwa mikoani uko.
Kuna maeneo common mzee ni ajabu kwa mwenyeji kutoyafahamu.

Mwanadaresalama kupotea ndani ya daresalama ati hajui apande gari kwenda kwao, aloo.
 
Back
Top Bottom