Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #261
Mtu mzima hatishiwi nyau!Endelea kunikimbia hvy hvy mana siku hy ndugu zako watakuletea chakula ICU mana hy pussy ntaichanachana
Mtu mzima hatishiwi nyau!Endelea kunikimbia hvy hvy mana siku hy ndugu zako watakuletea chakula ICU mana hy pussy ntaichanachana
Huko cha mtoto, nenda tandika taa nyekundu huko ni zaidi ya ahera, kuzimuNishatembea dar nzima kuna sehem inatwa kinondon moscow mtoto mdogo miaka 6 ana rista msela anavuta bangi kinondob shamba bang kama sigara watu wanapita mtaan huku wanavuta dar yote nimeimaliza
Nipe hy pussy yako this weekend Afu ujioneeMtu mzima hatishiwi nyau!
Nitatumia huu uzi kuchagua sehemu tofauti tofauti za kwenda kutembea kujua maeneo mapya 😅Mimi kuna wakati nilikuwa nazurula tu kujua sehemu tofauti za mji wangu.
Ushalewa, nenda kapige lile nyeto lako la tindikali ukalale!Nipe hy pussy yako this weekend Afu ujionee
Mgeni nani kijichi😅 tumepita zamani sanaDar ni ndogo lkn kuimaliza yote ni mtihani. Kuna sehemu kunaitwa mgeni nani...wengi hampajui
Kiwalani, bombom barabarani.
Temeke ndani ndani huko, kuna tope usiombe.
Wapi huko wanapoishi mabilionea watupu?Zurula wenzako tumezurula mpaka sehemu wanazoishi mqbilionea tupu,achana na obay masaki mikocheni sehemu ambazo ww unaona bab k
Hizo zote bado sana
Ova
Kama yapi?Kuna maeneo siezi poteza muda kwenda kutembea
Za vikojoleo zitakuja tu ila kwa sasa nimetoka kuumizwa na mapenzi sitaki kuandika kuhusu mizagamuano nasikia uchungu kuikosa 😂hii genre ya nyuzi ,umeanza lini kuandika , nimezoea nyuzi zako ni kuhusu vikojoleo tu
Mi najua ukiwa kongowe unaingia ndani ndani hukoDar ni ndogo lkn kuimaliza yote ni mtihani. Kuna sehemu kunaitwa mgeni nani...wengi hampajui
Ufike sasa mbona chap tu na ferry au kupitia darajani.Kigamboni
Mapinga, nimefika huko kusaka viwanja 2023 😂Yeah japo siyo Mbweni yote ni ushuani kuna sehemu ni uswahilini kuna mahali panaitwa Geza Ulole ni uswahilini typical, hawa nasikia wengi wao walikuwa waswahili wa Geza Ulole ya Kigamboni wakatolewa kule na serikali then wakapewa maeneo huku Mbweni bure wakahamia ndio maana wakapaita hivyo, ila kuna maeneo huku Mbweni JKT wanapaita kwa mama Samia oya hayo majumba ni kufuru kwanza huku kila mtaa kuna lami na zile taa za barabarani za huku na huku usiku hadi alfajiri zinamulika, hamna wizi maana kwanza kuna kambi ya JKT halafu pili kuna kambi ya wale jamaa zetu wa kaunda suti halafu kuna mapori kadhaa jamaa usiku wa manane wanapiga doria muda wowote mnasikia milio ya risasi, ila ukivuka ushuani huko mbelembele kuna sehemu zinakogeuzia daladala za Mbweni ndio uswahilini maisha ya mtaani kabisa japo ukiendelea mbele tena kidogo kama unaenda Mapinga Bagamoyo kuna kambi nyingine ya Jeshi nasikia hiyo ni ya wale jamaa zetu wazee wa bawa
Mshikaji nlisoma nae anakaaga masaki hapajui tandika 😂😂😂😂😂Kuna mwana nilisoma naye alikuwa anakaa Oysterbay, nimekutana naye US, alikiwa hapajui Buguruni wapi.
Nilimcheka sana mpaka aliporudi likizo ilibidi aende Buguruni kupaona.
Unakaaje Dar halafu Buguruni hupajui?
Siwezi kupasahau hapa, zaidi ya miaka 17 iliyopita niko kwenye daladala za sinza, nusu nichopolewe kimotorola changu pale kwa mtogole.1. Tandale. ✅
2. Lugwadu. ❌
3. Homboza ❌
4. Vianzi ❌
5 Mgeni nani ❌
6.Pemba mnazi. ❌
7. Buyuni ❌
8. Mbutu ❌
9. Mongo la ndege❌
10. Kwa Mkua ❌
11.King'azi ❌
12. Pugu mnadani ✅
13.Mwabwepande ❌
14. Mabibo ✅
15.kigogo ✅
16. Vikindu/Kisemvule ❌
17.Kiburugwa. ❌
18. Mbagala kuu ✅
19. Tuangoma ❌
20.kijichi ✅
21. Loliondo ❌
22. Tabata kusukuru. ❌
23. Mvuti/mbondole ❌
NK
Haya maeneo.kama huna kipaji cha uzururaji unaweza usifike maisha yako yote unless uwe na makazi kati ya maeneo hayo.
Kwahiyo huko kwingine kote ushapita Mama Kindege Jr. 😂Magwepande naona ndiyo bado sijafika
Kote huko hata mimi sipajuiTandika Kaburi moja
Manzese uwanja wa fisi
Gongo la Mboto
Yombo Dovya na Vituka
Buza kwa Lulenge