Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Hua nashangaa mtu anajisifu "mimi mtoto wa mjini, nimezaliwa Dar, nimekulia Dar" halafu kuna maeneo hayajui, hata ukiishi Masaki au Tandika bado unapaswa kutembelea sehemu zingine uone na kujifunza mengi,

Unakaaje mazingira ya aina moja tu umekua mtungi
 
Sasa hapo uende kwenye mpaka wa mburahati,kigogo na manzese 😄
Kuna wahuni hao watoto walikuwa wanajiita roho juu ndy zetu 😄
Ukipita bila code lazima wakulambee

Ova
Mburahati ni nyumbani kabisa kuanzia kizazi Cha kina kuveta mpaka sasa mburahati imepoa Kuna baadhi ya maeneo usela hauwezi Isha wenyewe wanasema usela mpaka uzeeni Kuna baadhi kumepoa kabisa ila Kuna mitaa bado ujinga upo mitaa ya uwanja wa gine bado Kuna usela wa kutosha wakina shabani Babu na jahazi lake wanakimbiza kama kawa wakina sherigam na Nikki butty umri umesogea ila Nikki bado ujinga anao ukija upande wa Santos kuna kizazi hakielewi wakina bani yesu washatubu ila Kuna wakina tidox na Fred mfupa wa nyani ukija huku uwanja wa kifa labda uwepo wa kituo kikubwa Cha police wakishirikiana na sungusungu wa luhanga (wazee wa cuf) kimezuia matukio mengi ila ya uhalifu bado upo Kwa uchache na wakina jibaba tesa salehe mpozo kishazeeka njoo mitaa ya shoka bado OMARY wa boda na OMARY mijibwa hawajapoa wanangu Hawa
Lakini mitaa ya jamaika mianzini kizazi Cha kina black ndio wapiga majembe wapya bonde la kagera limepoa ila limeharibika na madawa na usenge hapa kati mitaa ya uwanja wa Uruguay kuko kimya kile kizazi Cha kina Didi bona. Anderson fadiga.abdalah tenende chenyewe kishamaliza mwendo kikaja kizazi Cha kina sele bubba rama duchu rama kilo na kina mudi ndangula maskani ilikuwa dukani Kwa meja naona wadogo zetu wakina OMARY big na ngasa wao wametubu wanafanya ibada
Kuna kizazi kipya kipo hapa naona chenyewe kipo busy na mipira na mambo mengine wakina juma chinga Rajab katoto OMARY big na weekend team yao
Daah mburahati ndio sehemu pekee duniani naweza kutembea popote mda wowote na kufanya chochote ndani ya mburahati wakuu na ktk Kila kundi la vijana 10 unakuta 5\6 wananifahamu
Mburahati mi maarufu kama pesa
Karibuni sana mburahati
 
Back
Top Bottom