mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Haya naingia mitaa yenu 😄Serikali yako si unajua
Ngj nkachukue baraka kdg nkampige mzee sound
Ova
Haya naingia mitaa yenu 😄Serikali yako si unajua
Pemba mnazi nimepanga nifike siku moja mwezi huu unaokuja,Kwenye huu Uzi sidhani kama kuna mtu ashafika KIJAKA,PEMBAMNAZI,NGOMA MAPINDUZI,MKAMBA, BUYUNI, MWASONGA
Unaishi kuanzia kawe kwenda mbezi ya chini huko mpka round about ya africana roadHapana ila ukipita Old Bagamoyo Road au Mwai Kibaki unaweza kufika kwetu 🤣
Sawa sawa ,unakatisha Furaha fm, nimetoka niko msasani dagoni hukuHaya naingia mitaa yenu 😄
Ngj nkachukue baraka kdg nkampige mzee sound
Ova
Naona hapa masaki opposite na kituo cha mafuta lake oil eneo lishazungushiwa bati,sasa hawa wauza mihogo mama ntilie watapotezwaSawa sawa ,unakatisha Furaha fm, nimetoka niko msasani dagoni huku
Wasituondolee wauza mihogo wetu 😒Naona hapa masaki opposite na kituo cha mafuta lake oil eneo lishazungushiwa bati,sasa hawa wauza mihogo mama ntilie watapotezwa
Ova
Hilo eneo kitambo liko na magofu,tokea mkoloni Acha wapajenge humo kulikuwa na magneto ya wahuni wanakaaWasituondolee wauza mihogo wetu 😒
Kibarabara chenyewe chembamba hicho, acha tuone wanajenga nini? Wasiweke sheli tu!Hilo eneo kitambo liko na magofu,tokea mkoloni Acha wapajenge humo kulikuwa na magneto ya wahuni wanakaa
Ova
Alafu wanaweza kweli wakaweka sheli hawa 😄Kibarabara chenyewe chembamba hicho, acha tuone wanajenga nini? Wasiweke sheli tu!
Aaah kumbe upo karibu na mimi kabisa.Hapana ila ukipita Old Bagamoyo Road au Mwai Kibaki unaweza kufika kwetu 🤣
Yeah yani mimi napenda sana kusafiri kwanza nikikaa sehemu moja muda mrefu huwa najihisi kuumwaumwa, na mkoa wowote nitakaoenda hata kama ni kikazi lazima nitatafuta kivutio chochote kwenye huo mkoa nikakitembelee, wabongo wengi naona hatupendi kusafiri sijui kwanini ndio maana wengi exposure ni tatizoNdio nilichomaanisha hiki, unaweza sana kutoka Mbezi Beach na kwenda kwa Mpalange kupaona tu sio kuishi, na wa Mpalange anaweza akaenda Mbezi Beach kupaona pia, (Utalii wa Jiji)
Mtu anatoka Dar anaenda Tabora kutembea tu, huitaji kua na ndugu ili ufike sehemu, Watu wa Mataifa mengine wanacross dunia kuja nchini kwetu kutembea tu (Watalii)
Sema WaTz wengi hatuna utaratibu wa kutembea sijui shida nini,
Nimempenda Jadda anasema yeye hua ananyanyuka tu anaenda sehemu akifika huko anatulia anakula then anageuza, safi sana.
HombozaViunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?
Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
.
- Chanika
- Chamazi
- Makongo juu
- Kivule
- Kiwalani
- Yombo vituka
- Mabwepande
- Mburahati
View attachment 3400445
View attachment 3400458
View attachment 3400447
View attachment 3400478
View attachment 3400449
SipajuiKibeberu
Nimeona pametajwa mara nyingi, mimi sijawahi kufika huko!Homboza
Wamalizie kuwauzia wajenziNaona hapa masaki opposite na kituo cha mafuta lake oil eneo lishazungushiwa bati,sasa hawa wauza mihogo mama ntilie watapotezwa
Ova
Pemba mnazi ujipange NI kama unaenda mkoani, mwasonga bajaji bado wanacosta zao wanapandaPemba mnazi nimepanga nifike siku moja mwezi huu unaokuja,
Mwasonga Kuna delivery kibao kule lkn nashindwa kwenda na mtu wa bajaji
Ila nitajitahidi,
Buyuni wapo na gari zao kama za mkoani miaka ile ya 2010,
Kulikobaki nakusikia leo
Huko NI shamba WA mjini wengi hawapajuiBinafsi sijafika huko kote!
Huko ulipotaja kuna afadhali, hizo sehemu nilizotaja SIO Weng wanafikaHuko tayari kigamboni kwa mbele huko Kimbiji kwa Chale. kwa moris, puna, kidagaa etc
Nikitokea Ferry napand gari za kwenda wapi mkuu 🤔Pemba mnazi ujipange NI kama unaenda mkoani, mwasonga bajaji bado wanacosta zao wanapanda