Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Hii list yako bila kuitaja kigobedi na magodani haijakamilika.

Msalimie tajiri wa maduka mpaji ni mungu hapo mwasonga.
Hahahahaa, mpaka Muha mpaji Mungu unamjua?? Unamjua Nobe? Tije? Hao ndio baadh ya matajiri WA mwasonga wakiongozwa na tajiri Diwani
 
Kule Kwa mkeka itachukua MDA, kibada to mwasonga tuu bado ndio wanahangaika napo
Maana ukitoka ferry kwenda puna,yale ni kama km 39 sasa malizia pemba mnazi
Huko mwasonga bado sana ile njia

Ova
 
Nishatembea dar nzima kuna sehem inatwa kinondon moscow mtoto mdogo miaka 6 ana rista msela anavuta bangi kinondob shamba bang kama sigara watu wanapita mtaan huku wanavuta dar yote nimeimaliza
Wakati nakuwa huko kulikuwa kama kijijini kwetu, Maana asilimia kubwa ya ndugu walikuwa wanaishi kule! Ilikuwa ukienda Mosque unatoka nyumba hadi nyumba. Kwa kweli kilikuwa kijiji ndani ya Jiji!
 
Pemba mnazi ujipange NI kama unaenda mkoani, mwasonga bajaji bado wanacosta zao wanapanda
Kuna wakati nilingiliaga kijaka kuitafuta mkuranga (kisiju)
Ila hyo njia wakati wa mvua usishubutu kupita

Ova
 
Back
Top Bottom