Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Wachina wakichukua mikocheni itakuwa china ndogo wale jamaa kwenye ujenzi hawanaga dogoNa wachina wanavyoitaka mikocheni
S3ma barabara kule hawajatenda haki wangepiga hata zege
Ova
Wachina wakichukua mikocheni itakuwa china ndogo wale jamaa kwenye ujenzi hawanaga dogoNa wachina wanavyoitaka mikocheni
S3ma barabara kule hawajatenda haki wangepiga hata zege
Ova
Umewakukanyagwa na tope la huko ?Temeke ndani ndani huko, kuna tope usiombe.
Zege zinakujaNa wachina wanavyoitaka mikocheni
S3ma barabara kule hawajatenda haki wangepiga hata zege
Ova
Mmesha surrender nchi yenu ichukuliwe na walowezi wa kichina.Wachina wakichukua mikocheni itakuwa china ndogo wale jamaa kwenye ujenzi hawanaga dogo
Dah, kule basi kuna wajanja waliwahi kununua viwanja wamefaidika sana.Now kinyerenzi kwa washua broo
Yule jamaa wa ifakara health istitute kachangisha watu helaZege zinakuja
Kwani sisi kuna kitu tuna weza?Mmesha surrender nchi yenu ichukuliwe na walowezi wa kichina.
Na nyumba zipo juuDah, kule basi kuna wajanja waliwahi kununua viwanja wamefaidika sana.
Ndio. Fanya utafiti, utagundua vitu fulani fulani tunaweza.Kwani sisi kuna kitu tuna weza?
Huko Mwananyamala nasikia kuna uswahili na ushirikina plus machangu sio poa.Nakaa eneo ambalo
Mita 700 ,Hospital ya kairuki
Mita 850 ,Hospital ya TMJ
Km 2.5 ,Hospital ya Mwananyamala
Mita kadhaa ,Us Embassy
Mita kadhaa ,Shopperz plaza
Barabara zote za rami
Umepanga au kwako?Nakaa eneo ambalo
Mita 700 ,Hospital ya kairuki
Mita 850 ,Hospital ya TMJ
Km 2.5 ,Hospital ya Mwananyamala
Mita kadhaa ,Us Embassy
Mita kadhaa ,Shopperz plaza
Barabara zote za rami
Dmp zinapita kote kule inatokea mabwawani,inaenda kuunga RG kuleYule jamaa wa ifakara health istitute kachangisha watu hela
Kaleta grader tu hamna lolote
Ona alichofanya
Mm nlimwambia mzee asitoe helaa wahuni wale
Wamechonga ona mashimo yamerudi watu wanataka kitu cha kudumu
Ova
Uthubut hatuna na hatu aminianNdio. Fanya utafiti, utagundua vitu fulani fulani tunaweza.
Mwananyamala ni zaidi ya usikiavyo, sasa mie huwa natoka ushuani kwenda kushinda huko kuona maisha halisiHuko Mwananyamala nasikia kuna uswahili na ushirikina plus machangu sio poa.
NaelewaaaDmp zinapita kote kule inatokea mabwawani,inaenda kuunga RG kule
Sijapanga mkuuUmepanga au kwako?
Naskia ipo katikat ya chamazi na chanikaUpanga.
Serikali yako si unajuaNaelewaaa
Ila wanachelewa sana
Ova