Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Nakaa eneo ambalo
Mita 700 ,Hospital ya kairuki
Mita 850 ,Hospital ya TMJ
Km 2.5 ,Hospital ya Mwananyamala
Mita kadhaa ,Us Embassy
Mita kadhaa ,Shopperz plaza

Barabara zote za rami
Wewe unaweza ukawa jirani yangu.Kutoka hapo unapoishi hadi kufika REGENT BUSINESS PARK ni Mita ngapi?
 
😂😂 sipapendi mwananyamala shemeji yangu ana kaa uko panaitwa pombe chafu siendagi kisa uswahilini ndugu zangu wanaokaa uswahilin hawanioni na washa sema sana
Unaenda one time tuosha macho mkuu upunguze maneno kidogo 😄
 
Unaenda one time tuosha macho mkuu upunguze maneno kidogo 😄
Mpaka kufika kwake ukiambiwa urudi mwenyewe una potea

Kuna dada yangu hajawai niona now miaka 2 ana kaa mbande af ana ongea sana yaan kashakuwa mzalamu juzi kanipigia simu nikamwambia nakuja ila siendi 😂😂
 
Kumepoa sana huko
Kurasini kule walipondolewa watu
Mivinjeni ndiyo kulikuwa na balaa
Wahuni kibao...kulikuwa na squatter moja hatari sana
V8jana huko dili zao uwizi wa mafuta tu

Ova
Kurasini hapana jambo tena nona
Now nafanya research goba nimemaliza pako vizuri 100% bado bahari beach
 
Kigamboni,Kimara angepafahamu Makongo
Napasikia si unaingilia karibu na survey kabla hujafika ardhi university.
Sema sijawahi tu kwenda nikafika huko. Anayejua viwanja vizuri aniambie weekend moja niende nikapumzikie huko!
 
Ni kweli mimi siyo mzurulaji kabisa, huwa naenda sehemu kwa shughuli za kikazi, kijamii au matembezi ya starehe.
Sasa Kisemvule au Yombo nafika kutafuta nini?
Panga siku moja utembee just for fun uone upande mwengine wa dunia usiwe saaana "aphelion" 🤣
 
Siku moja nilipangiwa kwenda kufanya random survey ya kazi flani eneo mizimuni . Nilipigwa sana na butwaa but nilivyofika maeneo yako poa sema ni peri urban
 
Back
Top Bottom