Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mburahati ndo wapi?
Mburahati i
Sijui na mimi napasikiaga tu!!
Mburahati inapakana na manzese, ukiwa unatoka magomeni, kituo cha mwendo kasi manzese, unapofika tu zebra ya kituo hicho cha mwendo kasi, kuna barabara inaelekea kushoto mita 200 ktoka kituoni tayari uko eneo la mburahati.
 
Sio anaishi mwingine kazaliwa jijini na hajui maeneo kibao, unabaki kushangaa tu, na jinsi usafiri wa dar ulivyo bei rahisi.
Kuto pajua sehemu Dar, sawa tu kuna shuguri za kiuchumi, hazikupi muda ya kutembea kila mahali, labda kwa shuguri maalumu. Niko Dar tangia 1988 ila kuna maeneo napasikia tu.
 
Kuto pajua sehemu Dar, sawa tu kuna shuguri za kiuchumi, hazikupi muda ya kutembea kila mahali, labda kwa shuguri maalumu. Niko Dar tangia 1988 ila kuna maeneo napasikia tu.
Yapo yale maarufu mkuu, sio hiyo miji mipya
 
Back
Top Bottom