Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Ndani kule mbele ya Chanika kisarawe kuna kijiji kinaitwa Masaki.😆
Hapo ndo mji mkuu.
Kuna mpwelepwete, ntombi, imi,nffwata hapo njiani.
Na unakuta Kuna Don kadondosha bonge la mjengo huko.
Pesa kum**anyoko
 
Jamani, we chukulia mtu umekulia Oysterbay, unafika Buguruni kivipi na kufanya nini?
Kama upo busy na shughuli zako na huna hobby ya kutembea unaweza jikuta wewe ni mtu wa one root tu.
Kuna kipindi tulikuwa na ofisi yetu kariakoo sasa ile ofisi ilikuwa inafunguliwa hadi jumapili.
Nakumbuka karibia mwaka mzima root zangu zilikuwa mbezi.beach kariakoo
 
Maeneo ya wilaya ya Ilala,ambayo nina uhakika wengi hamja wahi fika au hampajaui.
1.Zavala
2.Viwege
3.Mbondole
4.Kigezi
5.Kiyombo
6.Ngobedi/Zingiziwa
7.Nzasa
8.Mkongeni
9.Mwanagati
10.Msongola
11.Mchafukoge...
 
Maeneo ya wilaya ya Ilala,ambayo nina uhakika wengi hamja wahi fika au hampajaui.
1.Zavala
2.Viwege
3.Mbondole
4.Kigezi
5.Kiyombo
6.Ngobedi/Zingiziwa
7.Nzasa
8.Mkongeni
9.Mwanagati
10.Msongola
11.Mchafukoge...
Sehemu hapo nishavuruga

Ova
 
Kurasini hapana jambo tena nona
Now nafanya research goba nimemaliza pako vizuri 100% bado bahari beach
Goba zamani mzee alikuwa na shamba kubwa,tulikuwa tukienda huko wakati wa kurudi ni mmebeba mihogo,machungwa
Mshuwa mwingine kipindi hicho naye alikuwa na shamba kubwa+bwawa la samaki huko ni marehemu Paul bomani
Sahv goba watu wamejenga ila hakuna mpangilioo
Kiranga

Bahari beach vip mkuu
 
Dar ni ndogo lkn kuimaliza yote ni mtihani. Kuna sehemu kunaitwa mgeni nani...wengi hampajui
Mgeninani ipo Mbagala
Kutoka Mbagala Rangi Tatu mpaka Mgeninani, Serikali za mitaa na bajaji nauli 500
 
Back
Top Bottom