Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Nishatembea dar nzima kuna sehem inatwa kinondon moscow mtoto mdogo miaka 6 ana rista msela anavuta bangi kinondob shamba bang kama sigara watu wanapita mtaan huku wanavuta dar yote nimeimaliza
Kinondoni noma 🙌
 
giphy-downsized-medium.gif
 
Viunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?

Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
  1. Chanika
  2. Chamazi
  3. Makongo juu
  4. Kivule
  5. Kiwalani
  6. Yombo vituka
  7. Mabwepande
  8. Mburahati
.

View attachment 3400445

View attachment 3400458

View attachment 3400447

View attachment 3400478


View attachment 3400449
Siku hizi unaenda sehemu ambazo una umuhimu nako tu siyo lazima ujue kila sehemu watu walioishi kwenye majiji makubwa duniani wanajua hii maneno
 
Siku hizi unaenda sehemu ambazo una umuhimu nako tu siyo lazima ujue kila sehemu watu walioishi kwenye majiji makubwa duniani wanajua hii maneno
Kulingana na replies za wanajukwaa, nimeona kuna sehemu nyingi sana sizifahamu!
 
Back
Top Bottom