Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mikocheni nakuja labda kumsalimia mzee nasepa 😄
Narudi kino
Yah kweli inawezekana labda ss wengine wazurulaji mapilika yanatupeleka huko

Ova
Hahahahaha, mm natembea maeneo hayo , hasa usiku ,muda huu naenda mafele kino
 
Mkuu Mimi kwa Dar hii na maeneo yote niliyotembelea so far, bado sijaona sehemu watu waliyofanya kufuru ya mijengo kiujumla kama Mbweni, yani sasa hivi sijui hata ni maeneo gani tena Dar yanatanishitua
Mbweni kweli watu waliwahi San sana vigogo serikalini na watu wa mfumo ni kama walitengewa eneo huko
Mbweni nliendaga zamani mimi nikiwa na mzee wangu na mzee lumbanga alikuwa na maeneo huko,walishapewaga na serikali

Ova
 
Mbweni wanataka SIFA
Af naona wana zidisha sasa 😂😂😂 kuna kipindi niliambiwa kule nyumba nyingi watu hawakai ila mwenye nyumba anaweza kukuambia uwe una walipa wafanya kazi mshahara nikauliza huyo mfanyakazi una mpa bei gani mlinzi 450k mtu wa bustani 350k kila mwezi nikasema we sijafika utajiri uhoo
 
Dah now kule huwezi pata kiwanja bei ipo juuu
 
Mbweni kweli watu waliwahi San sana vigogo serikalini na watu wa mfumo ni kama walitengewa eneo huko
Mbweni nliendaga zamani mimi nikiwa na mzee wangu na mzee lumbanga alikuwa na maeneo huko,walishapewaga na serikali

Ova
Mbweni ni mbadala wa Masaki na Oysterbay , ukimix unapata Mbweni

Ngoja mchina asaini JV, nihamie huko
 
Af naona wana zidisha sasa 😂😂😂 kuna kipindi niliambiwa kule nyumba nyingi watu hawakai ila mwenye nyumba anaweza kukuambia uwe una walipa wafanya kazi mshahara nikauliza huyo mfanyakazi una mpa bei gani mlinzi 450k mtu wa bustani 350k kila mwezi nikasema we sijafika utajiri uhoo
Hata kunduchi nyumba zipo wenyewe hawakai,ununio napo

Ova
 
Back
Top Bottom