binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Upanga.Kitonga
Upanga.Kitonga
Sasa hapo uende kwenye mpaka wa mburahati,kigogo na manzese 😄Kuna mwana alikuwa ananizimia sana Tambaza kuna siku akasema wewe leo nakupeleka kwetu Mburahati hujawahi kufika huko.
Tukaenda Mburahati mpaka kwao sikuamini pale ni Dar es salaam wala si mbali na Magomeni.
Nilikuwa sijawahi kufika.
Kifuru kuna watu wanajuwa kuishi banaMkuu kwani we ni mgeni Dar mbona kuna maeneo kataja hapo ni karibu na mjini kabisa hata kama hujawahi fika hayo maeneo, kama ni mwenyeji wa hili jiji basi lazima utayasikia tu mfano hiyo Bombom kijiwe samli iko Kiwalani ila huko Zingiziwa ndio mbali ni karibu na Chanika, huko Kifuru ni karibu na Kinyerezi ndio kuna barabara ya kuenda Mbezi mwisho halafu Mbopo pia nayo ni mbali iko Mabwepande huko
Kule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.Ipo kama unaenda kinyerenzi kule sio kwakukaa
Nenda ww mtoto wa mikocheniKuna maeneo siezi poteza muda kwenda kutembea
Sio huko ambako wanakaa wakurya??Kivule uwizi vibaka hakuna
Aise wakikamata mwizi kule anavanikwa
Pale kwa mpemba mbele kdg unaingia kulia kuna mji fulani safi sana watu wamejenga kwa mipango kuko poa sana
Ova
Yeah Bagamoyo sehemu nyingi sana ziko vizuri, watu sasa hivi ndio wanawahi viwanja huko yani kuanzia miaka kumi hadi ishirini ijayo, patakuwa hapashikiki kama palivyo Mbweni sasa hiviKuna mitaa hapo bagamoyo panaitwa nia njema pako vzr sana
Ova
Shida ni barabara zetu.mbovu sana. Kipindi cha masika hapatamaniki hukoKifuru kuna watu wanajuwa kuishi bana
Kuna sehemu kifuru ukienda unaingia kulia ndani ndani unafika mpaka kisarawe na mnara unasoma kisarawe
Kifuru pako byeee
Ova
Kinyerezi kuna mashuwa sanaKule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.
Siku hizi nasikia kumejengeka sana.
Hahahahaha..yaani niende tu kutembea au? Nikienda kino brazil,msasani kidongo, yakuza ,kuna toshaNenda ww mtoto wa mikocheni
Mbona sisi tunakwenda 😄
Ova
Obay masaki kwenye barabara mbovuShida ni barabara zetu.mbovu sana. Kipindi cha masika hapatamaniki huko
Kule nomaa, kuna yale maboda fulani ya mpaka mabondeni, Muhimbili-Magomeni, Magomeni -Tandale - Sinza, Magomeni - Mwananyamala, Mwananyamala-Kijitonyama.Sasa hapo uende kwenye mpaka wa mburahati,kigogo na manzese 😄
Kuna wahuni hao watoto walikuwa wanajiita roho juu ndy zetu 😄
Ukipita bila code lazima wakulambee
Ova
Mikocheni nakuja labda kumsalimia mzee nasepa 😄Hahahahaha..yaani niende tu kutembea au? Nikienda kino brazil,msasani kidongo, yakuza ,kuna tosha
Now kinyerenzi kwa washua brooKule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.
Siku hizi nasikia kumejengeka sana.
Ukiwa kule chini hananasif au Moscow muhimbili dk 3 ushafika kuna bodaKule nomaa, kuna yale maboda fulani ya mpaka mabondeni, Muhimbili-Magomeni, Magomeni -Tandale - Sinza, Magomeni - Mwananyamala, Mwananyamala-Kijitonyama.
Nishakata yote hayo kwa mguu.
Yale usipoyajua hujaijua Dar bado. Ila siku hizi yale sijui kama ni salama kihivyo.
Mkuu Mimi kwa Dar hii na maeneo yote niliyotembelea so far, bado sijaona sehemu watu waliyofanya kufuru ya mijengo kiujumla kama Mbweni, yani sasa hivi sijui hata ni maeneo gani tena Dar yanatanishituaKifuru kuna watu wanajuwa kuishi bana
Kuna sehemu kifuru ukienda unaingia kulia ndani ndani unafika mpaka kisarawe na mnara unasoma kisarawe
Kifuru pako byeee
Ova
Kinyerezi kitambo kwa mashuwa waliwahi wasi wangu mabar naona yanasogeaNow kinyerenzi kwa washua broo
Mbweni kiboko 🙌🙌 kuleMkuu Mimi kwa Dar hii na maeneo yote niliyotembelea so far, bado sijaona sehemu watu waliyofanya kufuru ya mijengo kiujumla kama Mbweni, yani sasa hivi sijui hata ni maeneo gani tena Dar yanatanishitua