Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Kama mjuavyo Shemeji yenu nimempa likizo (ban) akajitathimini kama ndoa inamuhusu au ina wenyewe.
Sasa Kuna mambo nimekuwa nikiyafanya maghetoni nimeona niwashirikishe masela labda itawafaa kusevu muda na kurahisisha maisha.
Kwanza kusonga ugali siku mbili za mwanzo nliona kama adhabu ya kifo hasa linapokuja suala la kuosha sufuria,ila juzi kati nimerudi ghto mida mibovu njaa inaminya nikaona nitoe dongo,ila nilivyoona sufuria nilikata tamaa maana licha ya kuwa na maukoko ya jana pia nilisahau kuloweka,nikicheki sufuria nyingine zizioni ,nlichofanya nkasema huu ukoko sio sumu nkaweka maji yakachemka nkatoa dongo, funny enough nimepika hivyo siku tatu,ya nne ndio nkaona soo kwamba niiloweke tu sufuria niioshe.Ila nimeona Ile kuosha sufuria ya ugali deile ni utumwa.
Another hack Jana nimepika wali dagaa ,Leo mchana nkasema nitoe dongo na kiporo cha dagaa ila kuonja nikaona hazipandi nikaenda chukua mtindi shop,Ile nafika ghto nkapata wazo nipashe dagaa niweke mtindi nione,duh kitu si kimetoka kama kina nazi.
Maisha rahisi sana sahizi nakuna tu kitambi hapa