Mnaoishi na watoto warefu mnakabiliana nao vipi wanapogoma kuadhibiwa kwa kipigo? Wamewahi kuwabadilikia?

Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi, hata walezi wa kike wakiona toto limekuwa tundu wanamwambia msubiri baba yako aje, mjomba wako aje, n.k...
Kwani si unawaambia washike chini? Urefu wao unaathari gani?
 
Atakanywa na nakuhakikishia atakanyika vizuri tu.Ikishindikana nabeba mpanti.
 
Kumpiga mtoto ni unyanyasaji mtoto akifanya vizuri mreward akifanya kosa mnyime vitu anavyopendelea kutumia au kufanya kumpiga mtoto kunamfanya kuwa muoga, anayependa kujitetea kw uongo akihofia kupigwa na kujihis mkosaji ata akiwa sahihi
 
Kumpiga mtoto ni unyanyasaji mtoto akifanya vizuri mreward akifanya kosa mnyime vitu anavyopendelea kutumia au kufanya kumpiga mtoto kunamfanya kuwa muoga, anayependa kujitetea kw uongo akihofia kupigwa na kujihis mkosaji ata akiwa sahihi
hii style inawezekana huko majuu tu hapa africa mtoto ni kiboko tu
 
Nakumbuka mimi na mdogo wangu mwaka 2018 dogo kuna siku nilikuwa na ile akili ya kizamani kuwa kila mkubwa ndo anampiga mdogo
Kilicho ni kuta nilikuambia mbio

Any way mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
 
Yaani kuzidi urefu iwe changamoto sasa si atakuja kukuua huyo. Nijuavyo mtoto ukimlea kijinga atakupanda kichwani over hayo maswala ya sjui mrefu kakuzidi hayanipi tabu napasua mtu kama kawaida mtoto nimlete duniani alafu anishi de labda sio mbegu yangu na hata kama sio mbegu yangu labda isikae kwangu na hata asipokaa kwangu bado hajanishinda nikiona fimbo hazimtoshi natafuta kitofali kizuri namkanda cha kichwa au mgongo mpka akili zimrudi ajue anadeal na mtu aliemzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…