Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Unamkanya au unamkanyaga??Namkanya 😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamkanya au unamkanyaga??Namkanya 😅😅😅
Unamwambia tu 'na huo urefu wako ntakuchana mbao'Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi...
Kwani si unawaambia washike chini? Urefu wao unaathari gani?Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi, hata walezi wa kike wakiona toto limekuwa tundu wanamwambia msubiri baba yako aje, mjomba wako aje, n.k...
Hahaha..Hapo dawa ni kumkata mtama, akianguka chini mnakuwa sawa, unamuwahi na Kabali 😅😅😅😅
Sasa kwenye ngumi unanichagulia style? 😅😅Hahaha..
Kabali tena?!!!
hii style inawezekana huko majuu tu hapa africa mtoto ni kiboko tuKumpiga mtoto ni unyanyasaji mtoto akifanya vizuri mreward akifanya kosa mnyime vitu anavyopendelea kutumia au kufanya kumpiga mtoto kunamfanya kuwa muoga, anayependa kujitetea kw uongo akihofia kupigwa na kujihis mkosaji ata akiwa sahihi
[emoji1787][emoji28][emoji38] WeweHapo dawa ni kumkata mtama, akianguka chini mnakuwa sawa, unamuwahi na Kabali [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]