econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
.... Kuna watanzania huwa wanajiona wao ndio wana - haki na wanastahili kuendelezwa maeneo yao tu....Barabara,madaraja,stend alizojenga mikoani zote zipo Chato? kwani Chato Mtanzania alikuwa Peke yake??? Tuamke Usingizini kila eneo ambalo ni haki miliki ya nchi hii lina haki ya kuendelezwa...huyu Mzee Mungu angemuweka Usafiri wa ndege ungekuja kuwa kama daladala.
Mimi ningemuona wa maana kama angejenga uwanja wa ndege Geita au Bukoba mjini, kwenda kupeleka uwanja wa kimataifa Chato ilikuwa kosa kubwa Sana.