Mnaoiua Chato kwa kuelekeza hata majengo ya umma yasitumike mnamkomoa JPM au mnawakomoa Watanzania?

Mnaoiua Chato kwa kuelekeza hata majengo ya umma yasitumike mnamkomoa JPM au mnawakomoa Watanzania?

.... Kuna watanzania huwa wanajiona wao ndio wana - haki na wanastahili kuendelezwa maeneo yao tu....Barabara,madaraja,stend alizojenga mikoani zote zipo Chato? kwani Chato Mtanzania alikuwa Peke yake??? Tuamke Usingizini kila eneo ambalo ni haki miliki ya nchi hii lina haki ya kuendelezwa...huyu Mzee Mungu angemuweka Usafiri wa ndege ungekuja kuwa kama daladala.

Mimi ningemuona wa maana kama angejenga uwanja wa ndege Geita au Bukoba mjini, kwenda kupeleka uwanja wa kimataifa Chato ilikuwa kosa kubwa Sana.
 
Usimlingan8she JPM na vitu vya hovyo. Mobutu na JPM ni ardhi na mbingu.

Wanafanana Sana, sema wanatofautiana sehemu moja, mmoja alipinduliwa na waasi mwingine wananchi walimuachia Mungu.
 
Tujifunze kukubali ushauri. Unajenga uwanja wa kimataifa chato wilayani unaiacha Mwanza JIJi, Hilo lazima tukubali ilikuwa kosa. Tujifunze kwa makosa. Sasa Leo uwanja hauna kazi wanaanikia dakaa.
 
.... Kuna watanzania huwa wanajiona wao ndio wana - haki na wanastahili kuendelezwa maeneo yao tu....Barabara,madaraja,stend alizojenga mikoani zote zipo Chato? kwani Chato Mtanzania alikuwa Peke yake??? Tuamke Usingizini kila eneo ambalo ni haki miliki ya nchi hii lina haki ya kuendelezwa...huyu Mzee Mungu angemuweka Usafiri wa ndege ungekuja kuwa kama daladala.
Sawa liendeleze basi, miji yenye magari ya maana ilikuwa haina taa za barabarani lkn yeye hizo taa akizipeleka chato ambako gari linaweza kupita kila baada ya dk 50 na zaidi na hapo utasema alikuwa sawa.
 
Back
Top Bottom