.... Kuna watanzania huwa wanajiona wao ndio wana - haki na wanastahili kuendelezwa maeneo yao tu....Barabara,madaraja,stend alizojenga mikoani zote zipo Chato? kwani Chato Mtanzania alikuwa Peke yake??? Tuamke Usingizini kila eneo ambalo ni haki miliki ya nchi hii lina haki ya kuendelezwa...huyu Mzee Mungu angemuweka Usafiri wa ndege ungekuja kuwa kama daladala.
Usimlingan8she JPM na vitu vya hovyo. Mobutu na JPM ni ardhi na mbingu.
Naam.Waanike "amaribha" watengeneze udaga.Kilimo cha mihogo kikishamiri wananchi wakaanike mihogo mahali hapo
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Wanafanana Sana, sema wanatofautiana sehemu moja, mmoja alipinduliwa na waasi mwingine wananchi walimuachia Mungu.
yaani siku aliyongatuka nilifurahi sana mpaka machozi yalinitoka. Wajinga ndo wanamkubali huyo.Usimlingan8she JPM na vitu vya hovyo. Mobutu na JPM ni ardhi na mbingu.
Endelea kuotea wafu!Usimlingan8she JPM na vitu vya hovyo. Mobutu na JPM ni ardhi na mbingu.
Sawa liendeleze basi, miji yenye magari ya maana ilikuwa haina taa za barabarani lkn yeye hizo taa akizipeleka chato ambako gari linaweza kupita kila baada ya dk 50 na zaidi na hapo utasema alikuwa sawa..... Kuna watanzania huwa wanajiona wao ndio wana - haki na wanastahili kuendelezwa maeneo yao tu....Barabara,madaraja,stend alizojenga mikoani zote zipo Chato? kwani Chato Mtanzania alikuwa Peke yake??? Tuamke Usingizini kila eneo ambalo ni haki miliki ya nchi hii lina haki ya kuendelezwa...huyu Mzee Mungu angemuweka Usafiri wa ndege ungekuja kuwa kama daladala.