Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
394
Reaction score
720
Salam.

Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje

Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.

Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?

Nyumba za ghorofa zina changamoto nyingi

Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida.
 
Mkumbuke tunaishi mara moja fanya unachojiskia kutokana na uwezo na ndoto zako. Kwani mtu akizeeka si unabadili makazi toka gorofani unaishi vyumba vya chini. Watoto wenyewe wakikua kila mtu anatawanyika kwake unaachwa na nyumba uko huru ukae juu au chini.


Kupanda ngazi mazoezi....
 
Mbona unatuingilia kwenye maamuzi yetu Sasa Hela tunazitafuta za nn kama huwezi fanya kitu kinachofurahisha moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…