Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

Binafsi sijawahi kupenda kuishi kwenye nyumba ya ghorofa huwa naona kadhia ile panda shuka. Ila kila mtu na chaguo lake. Kipenda roho!
Tabia za kivivu hizi. Sledi nayo ya mvivu mwenzio.
 
Back
Top Bottom