CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Hakuna UMASIKINI MBAYA kama umasikini wa FIKRA.
Mwalimu JK Nyerere
Mwalimu JK Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh!pia ukiwa juu kizungu zungu sitaki kabisa,
Ni mazoezi Mkuu! Halafu kule juu kuna upepo mwanana sana, unaweza kuchelewa kwenda Job.Ni kweli asee Ile panda shuka inachosha
Sio ghorofa tu. Hata nyumba kubwa hazifai. Utakuja kujua hl watoto wakishakuwa wakubwa na wanaanza kujitegemea. Mtu unajenga nyumba kuuubwa vyumba mpaka 6. Wewe unaishi chumba ki1. Pesa tu ndio zinafanya watu wafanye mambo ya
nyumba inaweza kuwa kubwa nje ila ndani ina vyumba vya kulala vitatu tu sema ni vikubwa 4*3,kuna mwingine anaweza akajenga ndogo akaweka vyumba vingi hata 6 lakini vidogo 3*3, kwaio hatujakuelewa point yako ni kujenga nyumba kubwa au kujenga nyumba yenye vyumba vingi?Sio ghorofa tu. Hata nyumba kubwa hazifai. Utakuja kujua hl watoto wakishakuwa wakubwa na wanaanza kujitegemea. Mtu unajenga nyumba kuuubwa vyumba mpaka 6. Wewe unaishi chumba ki1. Pesa tu ndio zinafanya watu wafanye mambo ya ajabu.
Ni sehemu ya mazoezi pia, muda wa mazoezi hakuna! Hahaa!Ni kweli asee Ile panda shuka inachosha
Zipo za betriKuna lift isiyo ya umeme mkuu?!
Halafu kwenywe kiwanja cha 20x20 mbaya zaidi majirani wana bafu na choo zisizoezekwaSalam.
Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje
Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.
Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?
Nyumba za ghorofa zina changamoto nyingi
Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida.
Mie nina ghorofa na nyumba za kawaida. Ghorofa sio kawaida inatakiwa uwe na hela haswa ndugu yangu. Kuna nondo hapo tani kwa tani zinaingia. Pia ghorofa ni unyama sana. Mtu unakaa juu kwenye balcony unawadeku tu majirani ndani ya kuta zaoWabongo wengi wanaamini ukijenga ghorofa uko matawi ya juu wakati sio kweli😄kawaida sana
ASANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Ungekuwa na tabia ya kufanya mazoezi wala hungelalamika kuhusu panda shuka...!Ni kweli asee Ile panda shuka inachosha
Ni mtazamo tu kwangu mimi ni kawaida bado huna hoja za msingi nondo nyingi ndo kitu gani?Mie nina ghorofa na nyumba za kawaida. Ghorofa sio kawaida inatakiwa uwe na hela haswa ndugu yangu. Kuna nondo hapo tani kwa tani zinaingia. Pia ghorofa ni unyama sana. Mtu unakaa juu kwenye balcony unawadeku tu majirani ndani ya kuta zao
Ukienda Masaki au Mbweni ambako maghorofa yamejaa ndio tunakuita maeneo ya kishua.
Halafu ghorofa ndio alama ya kuelekezea wageni utasikia ukifika kwenye ghorofa nyumba ya tatu kushoto. CHEZEA GHOROFA WEIWE?
ASANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Wabongo wengi wanaamini ukijenga ghorofa uko matawi ya juu wakati sio kweli😄kawaida sana