Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

Sio ghorofa tu. Hata nyumba kubwa hazifai. Utakuja kujua hl watoto wakishakuwa wakubwa na wanaanza kujitegemea. Mtu unajenga nyumba kuuubwa vyumba mpaka 6. Wewe unaishi chumba ki1. Pesa tu ndio zinafanya watu wafanye mambo ya

Sio ghorofa tu. Hata nyumba kubwa hazifai. Utakuja kujua hl watoto wakishakuwa wakubwa na wanaanza kujitegemea. Mtu unajenga nyumba kuuubwa vyumba mpaka 6. Wewe unaishi chumba ki1. Pesa tu ndio zinafanya watu wafanye mambo ya ajabu.
nyumba inaweza kuwa kubwa nje ila ndani ina vyumba vya kulala vitatu tu sema ni vikubwa 4*3,kuna mwingine anaweza akajenga ndogo akaweka vyumba vingi hata 6 lakini vidogo 3*3, kwaio hatujakuelewa point yako ni kujenga nyumba kubwa au kujenga nyumba yenye vyumba vingi?
 
Maghorofa yalibuniwa kutokana na ufinyu wa Archi ila jamii nyingi za Waasia vijana wao wa kiume wakioa wanaendelea kuishi hapo na familia zao, mtoto wa kike ndie anayeondoka kwao maghorofa ni reasonable kabisa.Huku kwetu tunajenga Kwa sababu ela ipo mwisho wa siku Kuna vyumba watakaa majini, watoto wote ulisukumia Ulaya na wewe kazi Yako ni kudhurura Kwa watoto huku ghorofa likiwa chini ya Haouseboy.
 
Salam.

Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje

Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.

Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?

Nyumba za ghorofa zina changamoto nyingi

Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida.
Halafu kwenywe kiwanja cha 20x20 mbaya zaidi majirani wana bafu na choo zisizoezekwa
 
Siyo lazima kuweka vyumba vyote vya kulala juu, vingine vinakuwa chini siku ukiona huna nguvu za kupandisha unalala chini.

Halafu unajuaje kama utaishi muda mrefu hadi ushindwe kupanda ngazi?

Siku hizi teknolojia imerahisisha mambo unaweza kuweka lift, wengine wanapenda ghorofa kwasababu ya kutazama eneo kubwa hasa sehemu zenye maji.
 
Wabongo wengi wanaamini ukijenga ghorofa uko matawi ya juu wakati sio kweli😄kawaida sana
Mie nina ghorofa na nyumba za kawaida. Ghorofa sio kawaida inatakiwa uwe na hela haswa ndugu yangu. Kuna nondo hapo tani kwa tani zinaingia. Pia ghorofa ni unyama sana. Mtu unakaa juu kwenye balcony unawadeku tu majirani ndani ya kuta zao

Ukienda Masaki au Mbweni ambako maghorofa yamejaa ndio tunakuita maeneo ya kishua.

Halafu ghorofa ndio alama ya kuelekezea wageni utasikia ukifika kwenye ghorofa nyumba ya tatu kushoto. CHEZEA GHOROFA WEIWE?
 
Mie nina ghorofa na nyumba za kawaida. Ghorofa sio kawaida inatakiwa uwe na hela haswa ndugu yangu. Kuna nondo hapo tani kwa tani zinaingia. Pia ghorofa ni unyama sana. Mtu unakaa juu kwenye balcony unawadeku tu majirani ndani ya kuta zao

Ukienda Masaki au Mbweni ambako maghorofa yamejaa ndio tunakuita maeneo ya kishua.

Halafu ghorofa ndio alama ya kuelekezea wageni utasikia ukifika kwenye ghorofa nyumba ya tatu kushoto. CHEZEA GHOROFA WEIWE?
Ni mtazamo tu kwangu mimi ni kawaida bado huna hoja za msingi nondo nyingi ndo kitu gani?

Hivi unajua hata ujenzi wa nyumba za chini kuna watu wanatishia wenzao kwamba ujenzi ni mgumu kiasi kwamba mtu anayejenga anaonekana ana pesa wakati kawaida sana
 
Wabongo wengi wanaamini ukijenga ghorofa uko matawi ya juu wakati sio kweli😄kawaida sana

Matawi ya juu ni relative term , mtu ambaye hana nyumba anaona mwenye nyumba ni matawi ya juu ,nakumbuka long time kuna Dogo alikuwa anapiga maokoto sana akafanikiwa kununua kiwanja na kujenga nyumba ya police post yaani ukitaka kwenda chumbani lazima utoke nje ilikuwa siyo style ya "SEFU KONTENA" tulikuwa tunamuona "ZE DON" sana.

Pia mtu aliyejenga nyumba ya kawaida(Yaani ya kupanga tofali) anaona aliyejenga ghorofa matawi ya juu.

All in all kila mtu ana kitu akipendacho ,asikwambie mtu nyumba ya ghorofa ni UNYAMA.

Mtoa mada ukipata muda nenda MBWENI JKT kisha malizia kusafisha macho Ukanda wa bahari kwa SAMIA kisha urudi tena kuuliza waliojenga maghorofa wanayapendea nini.

Kwanini matajiri(Long Money) wote wamejenga majumba ya ghorofa?
 
Mlevi hawezi kujenga ghorofa hela zitaishia kwenye pombe, ukiwa mzee unatafuta nyumba ya chini ghorofa unapangisha
 
Back
Top Bottom