Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

Kusema ukwel kuna watu wanaupepo wa hela,kuna mjinga mmoja huyo biashara yake ya kwanza kufanya ni uwakala wa mitandao ya simu tu,pia alikuwa na zile line kubwa za uwakala

Lakin kwenye hyo miaka 30 kaweza kujenga kamjengo kamaana sana ambako watumishi wengi hawawez kukajenga,kwanza kana finishing ya kinyama sana,yaan ni kwamba pesa za ujenzi zilikiwepo za kutosha na ikabak chenji
 
Talent kwenye sanaa ama michezo are the ways.. na kidogo politics ukipata luck ya kushinda ubunge ukiwa early 20s kama kina Silinde, Nassari, Zito kabwe enzi zao

Under 30 kupata utajiri sio rahisi bila kuwa msanii ama mwanamichezo
 
Kusema ukwel kuna watu wanaupepo wa hela,kuna mjinga mmoja huyo biashara yake ya kwanza kufanya ni uwakala wa mitandao ya simu tu,pia alikuwa na zile line kubwa za uwakala

Lakin kwenye hyo miaka 30 kaweza kujenga kamjengo kamaana sana ambako watumishi wengi hawawez kukajenga,kwanza kana finishing ya kinyama sana,yaan ni kwamba pesa za ujenzi zilikiwepo za kutosha na ikabak chenji
Watumishi wa tra wanajenga mabangaloo
 
Imauma sana kama ukiwa mlokole yaani pombe hunywi, sigara wala bangi huvuti, mbususu unapata kwa mpangilio maalum (kifo cha mende kwenye ndoa) na kila jumamosi upo kanisani ila inafika 30 maisha Yako hayana tofauti na dereva wa bajaji hapo mtaani
 
Wengine hata hizo 30s tumeshazivuka bado bila bila🐼
Wala usiwazie hilo, haya maisha hayana formula kabisa.
Unaweza kutoboa ukiwa na miaka 60 au hata 70 au 40 pia
Pambana tu na ukifanikiwa biashara fanya huku ukijiwekea kidogo
Biashara nayo ni mzunguko pia unaweza kuwa na biashara kubwa ukaporomoka na unaweza kuwa na ndogo ukapanda
Yaani ni bahati kwenye maisha
 
Kuzungukwa na kutafuta watu na taarifa sahihi, ndio mtaji wangu wa kwanza.

sija jua mafanikio ume yaweka kwenye vitu au nini?, ila I had my first house before I was 21.
Wewe unafaa sana kuwa raisi wetu wa majobless pro max maana hustling umeanza kitambo, yaani bila mshahara mwezi na ukaotesha nyumba.
 
Back
Top Bottom