Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii??
Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???