Mkuu, kuna continental treble na domestic treble. Hii inakubalika worldwide.
Domestic treble haina hadhi sawa na continental one, ndo maana Guardiola alibeba domestic treble mwaka 2018-19 lakini no one cares.
Ila hiii ya juzi, itakumbukwa na Kila mtu kama mkataba wa kimangungo wa DP world.
Pia, Paris Saint Germany, ndo ana hizo domestic treble za kutosha, lakini hamna hata mwenye habari nazo.Ukute hata msimu huu uloisha ana treble.
QN: Yanga ana treble msimu huu?
ANS: Yes, Domestic treble
View attachment 2672574