Asante sana, mjadala ufungwe.Kwanza ukiwa nje usiku muda hukimbia mnoooo.....
Unaweza hisi ni saa5 usiku kumbe ni saa 11 ukishtuka kumekucha unarejea mahomeπ
Kuhusu mahusiano ni vipiNdio Bar & Guest house= Lounge ukilewa unajipindua na goma lako mnalala hapo hapo mpaka muda unaotaka kuondoka tena kuna Lounge baadhi hua zina nightclubs humo humo kwa hio eeh ushaelewa?
Na nikupe hii uelewe sehemu yoyote unapoiona kuna Bar au Pub basi jua Guest house haipo mbali yaan ni nyuma ya Bar ndio hua kuna Guest house, unaoongea na Mlevi Mkongwe aliestaafu pombe takataka zote za maeneo hayo nazijua
Nishaacha kitambo sahivi nakula Moshi hio mimaji siitumii tena mara 200 nile Moshi kuliko pombe kila mtu na kichwa chake wengine wana vichwa vidogo wengine wana vichwa vikubwa,Walevi msiache pombe nyie ndo watu pekee tunao wadharau sasa mkiacha pombe sisi tutapata wapi watu wa kuwadharau?
Wazinzi wanajificha kwenye pombe kutengeneza confidence na kutoa aibu n.k.Ndio Bar & Guest house= Lounge ukilewa unajipindua na goma lako mnalala hapo hapo mpaka muda unaotaka kuondoka tena kuna Lounge baadhi hua zina nightclubs humo humo kwa hio eeh ushaelewa?
Na nikupe hii uelewe sehemu yoyote unapoiona kuna Bar au Pub basi jua Guest house haipo mbali yaan ni nyuma ya Bar au mwendo wa Miguu isiyozidi 10 ndio hua kuna Guest house, unaoongea na Mlevi Mkongwe aliestaafu pombe takataka zote za maeneo hayo nazijua
Pombe ni ujinga na walevi wenyewe wanajua ndo maana wakiona mlevi mwenzao kaacha pombe huwa wanamuwekea wivu wanaanza majunguNishaacha kitambo sahivi nakula Moshi hio mimaji siitumii tena mara 200 nile Moshi kuliko pombe kila mtu na kichwa chake wengine wana vichwa vidogo wengine wana vichwa vikubwa,
Pombe ilinifanyia kitu Mkoa X nikasema pombe naacha kuna Dada mmoja alikua na ka-pub kamoja nikaenda kula Masanga km tunavyoyaita piga Safari lager zangu kubwa za kutosha bia za Wanaume wa kazi zilipokolea nikamtwisha na yule Dada bia za kwake kadhaa akanywa kilichofuata sisimulii hapa pombe mwanaharamu kichaa
Mzee wangu ni kila kitu ulichoeleza hapo juu tena Giza likitanda sana pakianza kuchangamka sana ndio eeh ushaelewa e? Kila takataka unaweza kulala na Bibi ukijua mwali kumbe kikongwe ilinikuta Mafiati Ila nilitoka umeme eeh unaelewa sijui?Kuhusu mahusiano ni vipi
Ni kwajili ya s3* tu au ?
Huwa ni aina gani, wale warembo wanaoshinda bar, malaya wa kununua nje ya bar kwajili ya usiku moja au unakuwa na mchepuko maalum wa kwenda nao kunywa ?
Nasikia pia ni sehemu inayoongoza kwa mitungo na michezo mingine michafu
Halafu hakuna kitu Walevi wanachukia sana sana sana km kujua Wewe ulikua Mlevi balaa kisha ukaacha pombe watakutest sana km kweli umeacha utaletewa Bapa za kutosha Mezani pembeni kuna Club Soda au 7 Up na Maji wanakupimia utakunywa au utaachaPombe ni ujinga na walevi wenyewe wanajua ndo maana wakiona mlevi mwenzao kaacha pombe huwa wanamuwekea wivu wanaanza majungu
Hakuna Mlevi asiependa Chini huyo hayupo nakwambia hivyo sababu pombe ilikolea ndio eeh ushaelewa unafanya maamuzi ya ajabuWazinzi wanajificha kwenye pombe kutengeneza confidence na kutoa aibu n.k.
Wanywa pombe wengine tunakunywa pombe na kurudi nyumbani hatuhangaiki na wanawake.
Mazoea ya kuchukua wanawake mmelewa bar, si salama, ndio chanzo kupata magonjwa.
Kuna kucheza pool table, kucheza muziki, kupiga story na washikaji.. n.k.
πππ Ngoja niishie hapa asije mtu akapasukaMambo ya wanywa pombe na wavuta Jani waachie wao maana ndio starehe zao hzo ..
Nawe dili na starehe inayokupa furaha ,kufata fata sana utakuja pigwa chupa ya biaa mkuu
Sio kila mnywaji wa pombe anapenda chini.Hakuna Mlevi asiependa Chini huyo hayupo nakwambia hivyo sababu pombe ilikolea ndio eeh ushaelewa unafanya maamuzi ya ajabu
Mimi ni Mlevi Mstaafu nimeishi na walevi naishi na Walevi mpaka leo Ila Mimi sinywi tena nimeacha kwa hio unaongea na mtu mwenye experience na hio kitu bro sio newcomer au beginner ni proSio kila mnywaji wa pombe anapenda chini.
Kupenda chini una maanisha ni mzinzi.
Kama ulikuwa watu ambao hawatumii pombe ni wazinzi kuliko hao walevi.
Hao ni wazinzi damuni.Mimi ni Mlevi Mstaafu nimeishi na walevi naishi na Walevi mpaka leo Ila Mimi sinywi tena nimeacha kwa hio unaongea na mtu mwenye experience na hio kitu bro sio newcomer au beginner ni pro
Wewe sema ukweli hujawahi kunyanyua Chuma ukiwa umelewa?Hao ni wazinzi damuni.
Uzinzi wao upo damuni.
Kazingua sana. Uncle bright hufai kupeleleza mwanaume mwenzio Ili Hali hajawahi kukutomba hata dasi aseeAnakwama sana huyu mtu.Kwenye id yake lile neno la mwisho alitoe.Halijamsaidia hata kumpiga mkoloni.
Nilishataka kutafuna muhudumu wa hotelini alikuwa amejaa kabisa, sema nilikuwa nimelewa sana hadi nikaona leo sifiki nyumbani.Wewe sema ukweli hujawahi kunyanyua Chuma ukiwa umelewa?