Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

Walevi msiache pombe nyie ndo watu pekee tunao wadharau sasa mkiacha pombe sisi tutapata wapi watu wa kuwadharau?
 
Ndio Bar & Guest house= Lounge ukilewa unajipindua na goma lako mnalala hapo hapo mpaka muda unaotaka kuondoka tena kuna Lounge baadhi hua zina nightclubs humo humo kwa hio eeh ushaelewa?

Na nikupe hii uelewe sehemu yoyote unapoiona kuna Bar au Pub basi jua Guest house haipo mbali yaan ni nyuma ya Bar ndio hua kuna Guest house, unaoongea na Mlevi Mkongwe aliestaafu pombe takataka zote za maeneo hayo nazijua
Kuhusu mahusiano ni vipi

Ni kwajili ya s3* tu au ?

Huwa ni aina gani, wale warembo wanaoshinda bar, malaya wa kununua nje ya bar kwajili ya usiku moja au unakuwa na mchepuko maalum wa kwenda nao kunywa ?

Nasikia pia ni sehemu inayoongoza kwa mitungo na michezo mingine michafu
 
Walevi msiache pombe nyie ndo watu pekee tunao wadharau sasa mkiacha pombe sisi tutapata wapi watu wa kuwadharau?
Nishaacha kitambo sahivi nakula Moshi hio mimaji siitumii tena mara 200 nile Moshi kuliko pombe kila mtu na kichwa chake wengine wana vichwa vidogo wengine wana vichwa vikubwa,

Pombe ilinifanyia kitu Mkoa X nikasema pombe naacha kuna Dada mmoja alikua na ka-pub kamoja nikaenda kula Masanga km tunavyoyaita piga Safari lager zangu kubwa za kutosha bia za Wanaume wa kazi zilipokolea nikamtwisha na yule Dada bia za kwake kadhaa akanywa kilichofuata sisimulii hapa pombe mwanaharamu kichaa
 
Ndio Bar & Guest house= Lounge ukilewa unajipindua na goma lako mnalala hapo hapo mpaka muda unaotaka kuondoka tena kuna Lounge baadhi hua zina nightclubs humo humo kwa hio eeh ushaelewa?

Na nikupe hii uelewe sehemu yoyote unapoiona kuna Bar au Pub basi jua Guest house haipo mbali yaan ni nyuma ya Bar au mwendo wa Miguu isiyozidi 10 ndio hua kuna Guest house, unaoongea na Mlevi Mkongwe aliestaafu pombe takataka zote za maeneo hayo nazijua
Wazinzi wanajificha kwenye pombe kutengeneza confidence na kutoa aibu n.k.

Wanywa pombe wengine tunakunywa pombe na kurudi nyumbani hatuhangaiki na wanawake.

Mazoea ya kuchukua wanawake mmelewa bar, si salama, ndio chanzo kupata magonjwa.

Kuna kucheza pool table, kucheza muziki, kupiga story na washikaji.. n.k.
 
Nishaacha kitambo sahivi nakula Moshi hio mimaji siitumii tena mara 200 nile Moshi kuliko pombe kila mtu na kichwa chake wengine wana vichwa vidogo wengine wana vichwa vikubwa,

Pombe ilinifanyia kitu Mkoa X nikasema pombe naacha kuna Dada mmoja alikua na ka-pub kamoja nikaenda kula Masanga km tunavyoyaita piga Safari lager zangu kubwa za kutosha bia za Wanaume wa kazi zilipokolea nikamtwisha na yule Dada bia za kwake kadhaa akanywa kilichofuata sisimulii hapa pombe mwanaharamu kichaa
Pombe ni ujinga na walevi wenyewe wanajua ndo maana wakiona mlevi mwenzao kaacha pombe huwa wanamuwekea wivu wanaanza majungu
 
Kuhusu mahusiano ni vipi

Ni kwajili ya s3* tu au ?

Huwa ni aina gani, wale warembo wanaoshinda bar, malaya wa kununua nje ya bar kwajili ya usiku moja au unakuwa na mchepuko maalum wa kwenda nao kunywa ?

Nasikia pia ni sehemu inayoongoza kwa mitungo na michezo mingine michafu
Mzee wangu ni kila kitu ulichoeleza hapo juu tena Giza likitanda sana pakianza kuchangamka sana ndio eeh ushaelewa e? Kila takataka unaweza kulala na Bibi ukijua mwali kumbe kikongwe ilinikuta Mafiati Ila nilitoka umeme eeh unaelewa sijui?
 
Binafsi kukaa bar nakereka mapema sana, yaani saa tatu hadi tano nimeshachoka nataka niende home
 
Pombe ni ujinga na walevi wenyewe wanajua ndo maana wakiona mlevi mwenzao kaacha pombe huwa wanamuwekea wivu wanaanza majungu
Halafu hakuna kitu Walevi wanachukia sana sana sana km kujua Wewe ulikua Mlevi balaa kisha ukaacha pombe watakutest sana km kweli umeacha utaletewa Bapa za kutosha Mezani pembeni kuna Club Soda au 7 Up na Maji wanakupimia utakunywa au utaacha
 
Mambo ya wanywa pombe na wavuta Jani waachie wao maana ndio starehe zao hzo ..

Nawe dili na starehe inayokupa furaha ,kufata fata sana utakuja pigwa chupa ya biaa mkuu
 
Wazinzi wanajificha kwenye pombe kutengeneza confidence na kutoa aibu n.k.

Wanywa pombe wengine tunakunywa pombe na kurudi nyumbani hatuhangaiki na wanawake.

Mazoea ya kuchukua wanawake mmelewa bar, si salama, ndio chanzo kupata magonjwa.

Kuna kucheza pool table, kucheza muziki, kupiga story na washikaji.. n.k.
Hakuna Mlevi asiependa Chini huyo hayupo nakwambia hivyo sababu pombe ilikolea ndio eeh ushaelewa unafanya maamuzi ya ajabu
 
Mambo ya wanywa pombe na wavuta Jani waachie wao maana ndio starehe zao hzo ..

Nawe dili na starehe inayokupa furaha ,kufata fata sana utakuja pigwa chupa ya biaa mkuu
😂😂😂 Ngoja niishie hapa asije mtu akapasuka
 
Hakuna Mlevi asiependa Chini huyo hayupo nakwambia hivyo sababu pombe ilikolea ndio eeh ushaelewa unafanya maamuzi ya ajabu
Sio kila mnywaji wa pombe anapenda chini.
Kupenda chini una maanisha ni mzinzi.
Kama ulikuwa watu ambao hawatumii pombe ni wazinzi kuliko hao walevi.
 
Mimi ni Mlevi Mstaafu nimeishi na walevi naishi na Walevi mpaka leo Ila Mimi sinywi tena nimeacha kwa hio unaongea na mtu mwenye experience na hio kitu bro sio newcomer au beginner ni pro
 
Hao ni wazinzi damuni.
Uzinzi wao upo damuni.
 
Wewe sema ukweli hujawahi kunyanyua Chuma ukiwa umelewa?
Nilishataka kutafuna muhudumu wa hotelini alikuwa amejaa kabisa, sema nilikuwa nimelewa sana hadi nikaona leo sifiki nyumbani.

Pombe upuuzi wake kila manzi unaona pisi kali.

Mi nshakua pro, nakunywq ki brother sasa hivi, sio nakunywa hadi naanza kuyumba, hio hapana.
 
Back
Top Bottom