MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Hiyo ndo nyama gani tena?Nyama aliyokusudia mshana Jr sidhani kama umemwelewa!
Kasema ma2c ndiyo nyama tamu hadi kisogoni umemwelewa hapo ?!
Hakika mkuu, maandalizi mazuri ndiyo yanafanya kitu kinogeKila kitu ni maandalizi ujue.. Halafu kuna ufundi... Halafu kuna sanaa
Ni nyama ile inayoliwa chumbani na watu wawili wa jinsia tofauti wakiwa wamefunga milango ya vyumba vyao!.Hiyo ndo nyama gani tena?
Nitakula kimtindo kwa uficho asinione kama mwezi wa ramadhani Zanzibar, lakini msiniambie habari za kuacha kula kitimotoItafutwe namna ipi, elezea
Kumbe ndiyo mnavyofanyaga hivi ChiefπππNi nyama ile inayoliwa chumbani na watu wawili wa jinsia tofauti wakiwa wamefunga milango ya vyumba vyao!.
Wengine ili kutaka majirani wasijue kwamba huko chumbani kuna nyama zinakulana hufungulia radio au television kwa sauti kubwa ili watu wanje wasijue kinachoendelea ndani!
Nadhani Binti sayuni kwa maelezo haya huna swali la nyongeza !πππ.
Kwani wewe Binti sayuni ukitaka kula nyama hiyo huwa unailaje?! Hufungi milango ?! Watoto wakiingia je ?!πππKumbe ndiyo mnavyofanyaga hivi Chiefπππ
Asante! Shida Hawa wagalatia wakionyeshwa maandiko hayo husema agano la kale haliwahusu kwakuwa wao mamekombolewa kwa agano jipya!Napitatuu
Someni hapo
Ufunuo 21:8Ni nyama ile inayoliwa chumbani na watu wawili wa jinsia tofauti wakiwa wamefunga milango ya vyumba vyao!.
Wengine ili kutaka majirani wasijue kwamba huko chumbani kuna nyama zinakulana hufungulia radio au television kwa sauti kubwa ili watu wanje wasijue kinachoendelea ndani!
Nadhani Binti sayuni kwa maelezo haya huna swali la nyongeza !πππ.
Waefeso 5:3:Kwani wewe Binti sayuni ukitaka kula nyama hiyo huwa unailaje?! Hufungi milango ?! Watoto wakiingia je ?!πππ
Kati ya mudi boy na yesu ni nani aliye alalisha ulaji wa kitimoto ? Kama ukiniuliza mimi ili swali basi jibu langu lingekuwa ni Muhammad....yesu akualamisha chakula chochote wala kualalisha chakula chochote ...kama unatumia akili utagundua hekima iliyo nyuma ya yale maneno ya yesu kuwa kimwingiacho mtu akiwezi kumtia unajisi bali kimtokacho nafsini ...hapa pana siri kubwa sana maana ya yesu ni kwamba hata ukila ugali na maharage unaweza kuwa najisi ikiwa moyoni mwako kumeshuhudia uovu mfano ukila kwa ulafi ...ukila kwa choyo...ukila kwa kumuasi mungu hapo dhamili yako ndiyo ikutiayo dhambi ...hivyo ukisoma kwa kutumia akili utagundua Yesu akuhalalisha kula nguruwe au kutokumlaUongo!!!
Kuna mambo kadhaa yaliyoandikwa katika Agano la Kale ambayo Yesu mwenyewe ameya-ammend katika Agano Jipya.Walawi 11:7-8 Na NGURUWE kwasababu anazo kwato,ni mwenye miguu iliyopasuka kati,lakini hacheui,yeye ni najisi kwenu.Msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
Wewe umesoma Andiko hilo moja tu ukaishia hapo. Na hili je:...kama unatumia akili utagundua hekima iliyo nyuma ya yale maneno ya yesu kuwa kimwingiacho mtu akiwezi kumtia unajisi bali kimtokacho nafsini ...
Yote hayo yana thibitisha ninacho sema....sema wewe ujaelewa tu...sasa wacha nikupe akili ...turudi hadi bustani ya aden aliyo kuwako Adam na Eva nenda kajifunze pale ndiyo utagundua hekima ya hayo maneno ya yesu...maana pale pia kuna kisa cha kula tunda ...sasa tumia akili yako vizuri.Wewe umesoma Andiko hilo moja tu ukaishia hapo. Na hili je:
1 Timotheo 4:4-5
Kwa sababu kila kilichoumbwa na Mungu ni chema, wala hakuna cha kukataliwa...